Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya music fans wote. Lengo ni kukumbushana musiki wa kibongo hasa zile track zenye jumbe kuntu za kufundisha jamii katika...
J.H. Chase kwangu mimi ni mwandishi bora wa novel wa wakati wote, ameandika novel nyingi sana.
Novel 3 bora kuwahi kuzisoma toka kwa James Hadley Chase ni;
Knock Knock Who's There
No...
Wadau nina shida na nyimbo za bendi ilikua ikijulikana kama Mchinga sound,
Pia na nyimbo za TOT plus , Mwenye nazo tafadhari.
Natanguliza shukrani za dhati.
Rejea kichwa tajwa.
Ninatafuta audio moja hivi ambayo ni kama stori iliyokuw ktk mfumo wa shairi inayoelezea mahusiano y mdd n mkk ambako yanapoishia ni kuwa dada anaambukizwa ugonjwa wa...
Kool & The Gang Band Wamehaidi kuleta mapinduzi ya shoo kubwa nchini uganda wikiendi hii ya 12th November katika viwanja vya Kololo Airstrip Grounds ambapo watafanya shoo ya kihistoria nchini...
Katika hatua ambayo imewafurahisha mashabiki wengi wa muziki nchini, MTV EMA wanadaiwa kumpokonya tuzo ya Best African Act na Worldwide Act, Wizkid na kumpa Alikiba ambaye alistahili kushinda...
Nimeitoa sehemu
Haya Ndio Majibu ya Airtel Tanzania kuwa washindi walishinda Kutokana na Kura za wananchi, Hapa ndipo figisu zinapoanza kuonekana kwani washindi walioshinda hakuna hata mmoja...
Huyu jamaa kabla ya kuokoka alikuwa ni jambazi wa kuogopwa hapa Tanzania na baadhi ya nchi jirani. Kwa hapa Tanzania alipatikana zaidi Keko (Dar es laam), Moshi (Kilimanjaro), Unga Limited...
Husika na kichwa cha habari. Napenda nyimbo za injili za slow za kiswahili . Kwa unayejua majina ya nyimbo kama hizo naomba unipe jina niweze kuzitafuta. Mfano kuna wimbo "salama" wa Anjel Bernad...
Kabago anatambulika kama mmoja wa watu waliowezesha hiphop nchini kusonga mbele tangu akiwa mkoani Arusha na hata alipohamia Mwanza, akiwa kama msanii na mtangazaji wa redio (kwa sasa Passion Fm...
Leo msanii kutoka mbeya chini ya WCB Raymond ameachia ngoma inaitwa sugu
Amerap vizuri sana , huyu dogo ni hazina kwenye bongo fleva
Mod utasaidia kuipandisha link imenigomea
@Regrann from @abby1_thebest - HII NI MAKALA YA KIBABE KUTOKWA KWANGU LEO HASWAA @abby1_thebest NA HILI NILITAKA KULISEMA MUDA SEMA NILIKUWA NASUBIRI MUDA MUAFAKA NA HAPA NAJUA KUNA WATU WANAWEZA...
Hakuna shaka kuwa nyimbo nyingi za miaka ya 70 mpaka 80 mwishoni zinaradha ya kipekee na kusisumua kwa hali ya juu. Hii ni kutokana na ustadi mkubwa wa wanamuziki wetu wa kipindi kile.
Hiki ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.