Katika hali ya kushangaza na yakutia shaka utendaji wa mkuu wa mkoa wa dar es salaam, jana mida ya jioni alionekana viwanja vya leaders club kushirki tukio la FIESTA 2016 ambapo katika burudani...
Kwa mlioangalia kupitia TV na mliohudhuria iyo show jana naomba kujua ni msanii gani alisepa na kijiji na ni yupi alizingua
Na je buuuuuuuuuuu zilikuwepo au hazikusikika
Sijui ninini kinawavutia watu katika huu wimbo
Tangu utoke ni nyimbo nyingi nzuri zimetoka lakini bado unasikika tu kwenye maredio matv na kwenye maclub na ukipigwa kwenye matamasha ndio kabisa...
kutana na kazoa a.k.a chauroho....na wakali kibao wa commedy nadhani ilikuwa inaoneshwa e.a tv miaka kama 3 iliopita na sasa wameludi kwa episode mpya kama unamkubali kazoa stay tuned jamaa...
NILIKICHEKEA KIFO CHANGU no.1
mtunzi IDDY MHANDO
Nilikuwa safarini nikielekea sehemu nisipo pajua. ndani ya basi hilo tulikuwa abiria wengi lakini wote tulikuwa tumekaa kwenye siti hapakuwa na...
Imdb.com top 250 movies of all time
No 1. The Shawshank Redemption (1994)
No 2. The Godfather (1972)
No 3. The Godfather: Part II (1974)
No 4. The Dark Knight (2008)
No 5. 12 Angry Men...
Awali ya yote nikiri kabisa mi ni shabiki kindakindaki na mpenzi mkubwa mno wa burudani...nikiwa kama mpenda burudani ntakuwa mnafiki endapo sitasifia tamasha la fiesta linalofanyikaga kila mwaka...
Wazee hii ngoma mpya ya Alikiba X Ommy Dimpoz.. Wimbo unaitwa .. Kajiandae.. n ngoma kali sanaaa.. Nilikuwaga na wasiwasi na uwezo wa Kiba ila kwa hii.. Kiba n Hatari. Video pia Kali sanaaaa...
Wadau naomba mnisaidie jina la huu wimbo yaani jina la aliyeuimba na jina rasmi la wimbo wenyewe. Nimejaribu ku-shazam lakini wapi. Una maneno maneno don't Stop believing.
Nime-attach file la...
fiesta ya mwaka huu bila kuficha maneno mmechemka sana tena sana
Kwa kiingilio cha 20,000 na jinsi show mnavyoipromote ilibidi mlete msanii mkubwa aliye na hadhi ya kiingilio kilichotangazwa...
Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni imemkuta na hatia mwanamuziki Judith Wambura maarufu Lady Jaydee kumkashifu Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga pamoja na Mkurugenzi wa Vipindi...
Una hamu ya kumuona nani leo FIESTA DAR akipanda jukwaani, mimi binafsi namsubiri Juma Nature Kiroboto, long time jukwaani sijamuona, pia hata yemi alade.. Najua wadada leo mna hamu ya kumuona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.