Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Staa wa Nigeria Chinedu Ikedieze (Aki) aisifia ‘Salome’ ya Diamond ‘I am a big fan’ MUUNGWANA BLOG / 22 hours ago Salome ya Diamond Platnumz inaelekea kumshangaza staa huyo kwa mafanikio...
0 Reactions
2 Replies
811 Views
Namba hazidanganyi na wala hazichawiwi.
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Mimi ni mpenzi mkubwa mno wa muziki wowote ule duniani yaani naweza kukesha hata mpaka asubuhi endapo nikikutana na channel za muzik hasa zile matata duniani sasa.nakosa.uamuz.sahihi kuhusu...
0 Reactions
2 Replies
756 Views
Wadau naskia series kali ya Prison brake inatarajia au imeshaanza kuonyeshwa je mwenye ujuzi wa kujua ni channel gani imeanza kurusha hii series kali kuwahi kutokea nchini marekani
2 Reactions
2 Replies
555 Views
Naulizia Nite Club nzuri Dar zinazotoa huduma nzuri ya mziki. Nilizoea kwenda Bilicanas na Savana ila nimepewa taarifa hizi club zimefungwa.
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Samaha wazee wenzangu hususani wapenzi wa Muziki, kuna wimbo nautafuta, uliimbwa na Sikende, wimbo unaanza kwa neno: Ndugu na jamaa wameniweka kando, kuwa hunifai eeh ehee x2 Nilikuweka moyoni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwenye huu wimbo naomba anitumie au atume link ya jinsi ya kuupata.
0 Reactions
5 Replies
27K Views
Huu wimbo mpya wa Ruby kwa ambaye ameuskiza basi anaweza akakubaliana na mimi kwamba hii ni Diss ya waziwazi kwenda kwa Clouds, Ikumbukwe kuwa Ruby na Clouds hawana maelewano mazuri tangu...
0 Reactions
60 Replies
10K Views
Unaimbwa,'naipenda yanga mtoto wa jangwani/naipenda simba shabiki wa damu by Msaga Sumu.
0 Reactions
4 Replies
11K Views
Wapendwa mwenye nyimbo Tajwa hapo juu naiomba....msaga sumu anayoimba Naipenda simba mshabiki wa damu
0 Reactions
3 Replies
16K Views
Habari wana jf, kuna program gan ya kurushiana movies mfano series kwa njia ya simu, kuna sister niliona wanarushiana part za movie anaangalia kupitia simu but sikuelewa ni program can...
0 Reactions
3 Replies
699 Views
Haya haya kumekucha huko kwa madiba...ni zile tuzo za (MTV Africa Music Awards) ndo zimerudi tena..Na kama kawaida yule raisi wa bongofleva anaendelea kupeperusha bendera ya nchi kwa uzuri...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Muziki ni sanaa ambayo ni ufundi wa kuwasilisha mawazo yaliyomo katika fikra za binadamu ili yadhihirike na kufikisha ujumbe uliokusudiwa kwa walengwa. Malengo makuu ya sanaa ni pamoja na...
1 Reactions
1 Replies
672 Views
Jana nilikuwa natazama kipindi cha planet bongo EATV Dullah alikuwa anamuhoji Dully Sykes. Katika kumpiga maswali alimuuliza swali kuhusu yeye kutoa nyimbo kisha ile video ya huo wimbo kuwekwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama wewe ni mpenzi wa muziki wa Trap karibu hapa tushee mikato ya trap songs unazozielewa sana. Mimi binafsi napenda Beehive ya jaycode Troyboi - after hours Tuesday - monkomen 679 - fetty...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ziwe za kiswahili ama kiingereza si vibaya mkaniongezea zaid ya hizi nizijuazo....nazihusudu kwakuwa huwa zinaniondoleaga stress ...
0 Reactions
65 Replies
9K Views
Mbela, musical bow from Aka pygmies. The musician used his mouth as a resonator and play a wah effect, the wood stick on the left hand allows a pitch change. [A video by Sorel ETA]
0 Reactions
0 Replies
478 Views
Wana JF movie ipi nzuri inayoenda na THE EXAM?
1 Reactions
0 Replies
366 Views
Back
Top Bottom