Inaitwa "The Conjuring" Ni Moja Ya Movie Za Kutisha Sana. Kuna Watu Wamesadikika Kufa Wakati Wanaichek Kutokana Na Kutisha Kusiko Kwa Kawaida
Ni Story Ya Kweli Iliyo Wahi Kutokea Ulaya. Kutokana...
Swalama wana JF , kwa yoyote anayejua wapi ntaweza pata nyimbo za kichagga ziwe za gospel ama za kitamaduni, kwa ajuaye anipatie link.Sababu nimetafuta kila kona mtandaoni nimekosa.
Maishani kuna njia nyingi sana za kutoka kama una kipaji.
Ila kwa wenzetu huko ameshavuta hela ya kumsukuma siku mbili tatu hivi, hapo bado YOUTUBE, bado live performance sehemu nyingine.
Damiyr...
RIWAYA: Jina
NA: Frank Masai
SEHEMU YA 3.
ILIPOISHIA.
Pale alipoirusha, alijikuta akitumia nguvu nyingi ambazo zilimfanya asogee mbele kidogo ya Frank, na kwa kuwa alimkosa mtu aliyekusudia...
Kuna wimbo unaitwa kuruthumu sijui ni jagwa music ama Omar Omar ndio kaimba ila upo kwenye maadhi ya mnanda flan HIV....naomba mwenye link jins ya kuupata maana u tube nimezunguka sijauona
Aisee hii video imechefua sana baadhi ya watu lakini ndiyo hivyo, bonge la ngoma balaaa.
Kasema mauji ya mtu mweusi siyo HOMICIDE bali ni GENOCIDE; vita dhidi ya madawa ya kulevya ni vita dhidi ya...
[Verse 1]
Nataka nitoke kwenye Jamii Forum
Niuze sura!
Niseme ninatoka na Nifah…
Kitandani kwisha na FaizaFoxy
Ama Jimena
Nilete matata mpaka kwa Heaven sent
Kwenye redio zote, mpaka runinga...
Kila nikiangalia hivi vipindi vya huyu mwanadada huwa nakereka na sauti tuipatayo sisi watazamaji...Yaani sauti ina mwangwi utadhani hicho kipindi anarekodia kwenye hall la kanisa kule ROME,Italy...
VideoMPYA: King Crazy GK bado yupo.... kaileta hii inaitwa 'mzuri pesa':
VideoMPYA: King Crazy GK bado yupo.... kaileta hii inaitwa 'mzuri pesa' - millardayo.com
Wadau Hebu nisaidien majukumu ya huyo mtu maana kwenye official administration systeam sijawahi ona iyo nafasi. Na jamaa kwa nafasi iyo majukumu yake ni yapi?
Kwanini wasingesema mkurugenzi wa...
Got a good sense of humor?..good to meet you fam. Here we share all the best sitcoms we ever came across, regardless of the time. Without further ado, here are mines(in no specific order)..
The...
Wakuu, Azam TV wana kipindi kiitwacho 'Midundo ya Kale' na wanatumia band iitwayo Utalii band katika ukumbi wa Club Infinity. Tokea nikutane na kipindi hiki siku ya Jumamosi na marejeo Jumapili...
Ben Pol
Barnaba Boy
Their latest songs:
Joh Venture (Official Site): Ben Pol - MOYO MASHINE | Mp3 Download [New Song]
JOH MUSICTZ: Download | Barnaba - Lover Boy | New [Song Mp3]
Kama...
You are the one and only mami And I’m the one man army We sio mnyama ila unyamani maninja wanakuita mwami We ni soldier, I told ya, na sio uongo Nakumbuka zile hustle za Mbeya mpaka Nyamongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.