Nadhani sijaeleweka!! ila ukimtoa kanumba (ME),gabo(ME),monalisa(KE) na riyama(KE) huyu ndio actor wangu wa bongo movie kwa sasa mpaka 2030....."DUNIA Anaitwa hellena aka cindy kakolanya(ke)
Nawakaribisha wapenzi wa Singeli,Wanazuoni wa sanaa ,watoto wa kitaa ,Ma itteligentsia wote na wataalamu wa codes.
Hebu tuambieni hizi namba zinazotajwa kwenye muziki wa singeli zina maana...
Kitumbua cha buku sehemu ya kwanza
STORY NA: Mbogo Edgar
Kijana Prosper alikuwa amejilaza kwenye mkeka, askipunga upepo wa na kufaidi kimvuri cha mti wa mwembe dodo mkubwa sana, uliopo pembeni...
KING RASHID ( K R MULLA) MSWAHILI ALIYETUKUKA TOKA TEMEKE ASIYE NA MAJINGAMBO TOKA KITAMBO...🔥🔥🔥🔥🔥🔥
_________________
Jina langu halisi naitwa Rashid Ziada , lakini
Jina langu la kisanii Naitwa...
Wakuu Habari za Uzima, Naombeni Mnisaidie Audio za Nyimbo hizi, Hizi Nyimbo Nilikuwa Napenda Kuzisikiliza Kabla Sijapata Hearing Loss "Usikivu Hafifu" Najua Kwasasa Nitafaidi Midundo tuu ila...
Kwa mara ya Kwanza toka 2009 nilipoanza kuchek series za 24 na prison break nilishamaliza kufananisha na series yeyote duniani nakumbuka mwaka 2010 nilichek pia series moja tamu Sana inatwa...
Listen to The Voidz - Blue Demon
Blue Demon” shares its name with one of all-time greats of lucha libre.
But if the song “Blue Demon” is about the wrestler Blue Demon, then the connection is...
Habari wakuu,
Kwa members wenzagu wa 90 's n below nadhani tunaweza kumbushana baadhi ya TV series zilizotamba sana enzi hzo ambazo ikifika mida hiyo familia nzima either nyumbani au kwa kuzamia...
Kabla sijaanza naomba niwahakikishe kwamba hii story nimepewa ruhusa na mwandishi kupost humu. Kila siku ntakua napost na nawahakikishia story itaisha kabisa.
SIN 01...
Mtayarishaji nguli wa muziki hapa nchini Master J amemuomba msamaha Mfalme wa Bongo Fleva, Alikiba baada ya mahojiano yake aliyoyafanya na Simulizi na Sauti huku akisema kuwa hajawahi kuwa na...
listen to Delulu BANKS
Introduction
On February 27, 2025, BANKS released her latest single, "Delulu," a track that delves into the complexities of unrequited love and the lengths one might go to...
Wana jamvi leo nimeona japo turevew miaka hii ya nyuma vipindi vya television enzi zile 1994 kuibukia miaka ya 2000. Binafsi nakumbuka mbali sana hasa vipindi vya television ITV mfano Egoli place...
Kool & the Gang : "Let's Go Dancin' (Ooh La La La)"
Mimi niusikia kwa Mara ya kwanza Morogoro mwaka 1982/83 kwenye Bilibi Disco ambayo nadhani ilikuwa pia inamilikwa na Joseph Kusaga. Ulikuwa...
Kuna tetesi nzito mitandaoni kuhusu ukaribu wa msanii Harmonize na Abby Chams. Watu wanajiuliza, je, hii ni collabo ya kimuziki au kuna kitu zaidi?
Baada ya Harmonize kuonekana akimposti Abby...
Bilionea ambaye ni mgonjwa mahututi anafanyiwa upasuaji mkali wa kuhamishia fahamu zake kwenye mwili wa kijana mwenye afya njema. Walakini, hivi karibuni anagundua kuwa mwili wake mpya unakuja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.