JINA LA FILAMU: Demon City 2025
Aina: Kitendo | Hofu | Sayansi-Fiksi
Muhtasari wa Hadithi:
Sehemu ya 1: Kuanza kwa Mkasa
Mwaka ni 2025, katika jiji la kisasa linalojulikana kama Neo Babylon...
Yeyote mwenye filamu ya bongo (Bongo movie) iitwayo THE AVENGERS iliyochezwa na wasanii wafuatao...
1. Jennifer Kyaka - Sterling.
2. Yusuph Mlela.
3. Jackline wolper.
4. n.k
Tafadhali mwenye hii...
Sisikii wadau mkiuongelea huu mzigo. Ni series ya zaman nahisi 2007 au 2008 lkn imenikaa kichwani since ina unyama mwingi sana, kama hujaitazama give it a shot na uje utuambie mtazamo wako kuhusu OZ.
https://youtu.be/mcg2S5LIRAw?si=nJ_oe-WDuw_gE84f
K. Dot akitupa ladha wazee, story teller, mistari na mziki uliokuwa kwenye circle, patterns, hook 🔥🔥🔥🔥
Hapa kwangu najua mwenye shida martha kamrekodi mwenzie af yeye anaongea pole pole kujifanya hana hatia uku mwenzie akibwabwaja kwa hasira hakiwa hajui kinacho endelea
Alikuwa anajua anacho...
Hii ni picha ya TBag baada ya kupewa taarifa na Fernando sucre kwamba Brad bellick amefariki
T Bag alikua alikua na moyo mgumu ila alivyopewa taarifa ghafla alipata mshangao , hakuamini...
Habari za jioni wanajamii hatimae siku ya jana nimefanikiwa kumaliza kutizama prison break season 4 nipo tayari kwa ajili ya season 5 kwa dondoo za hapa na pale nimeona ndugu yetu michael na linc...
Hivi sasa ni saa 1 na dakika 38, nawasalimu wanajukwaa. Huku niliko hali ya hewa ni ya kiubaridi kidogo, anga limetandwa na kiza na nyota kadhaa zimeanza kuonekana.
Narejea kwenye mada, kwa wale...
Wizara ya Sanaa, tamaduni na michezo. Hivi mna mawazo Gani kuenzi na kutambua mchango wa mziki wa Dansi na watunzi wake?
Kwa ujumla Muziki wa zamani umechangia sana kukuza utamaduni wa kitanzania...
Wasaalam wakuu,
Nimeona kisa kimoja Cha Analyse akizungumzia mambo ya utapeli nikakumbuka balaa ambalo limewahi kunikuta, aisee tukizungumzia matapeli sio Hawa sijui wa Mr kuku, sijui kalynda...
Tatizo ni kuwa wabongo tutamtupilia mbali kwa maana haimbi nyimbo zile "paka yangu imeloa, sijui kugonoka, gonokaa"
She is a very a talented girl kiukweli. Sauti yake, idea yake ya muziki, na...
"In English, we say: “I miss you.”
But in poetry, we say:
“I trace the shape of your absence in the spaces where your laughter used to linger,
and let the echoes of you fill the hollow hours.”
In...
Story na Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Tamaa, Hila, Usaliti, Unyanyasaji, Uhalifu, Mauaji, Visasi, Vita, Mambo yasiyotazamiwa
Rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KWANZA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.