Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
1.How am I suppose to live without you – Michael Bolton 2.Nothing compares to you - Sineod Oconor 3.Sometimes love just ain’t enough – Patty Smith 4.If you were with me now – Kylie Minogue...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Moja ya habari ya mjini iliyovuma sana wakati wa uchaguzi mkuu oktoba 25 mwaka huu ni kuwepo kwa tuhuma za pesa ambazo Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), FREEMAN AIKAEL...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Jamani naomba kujua hili tamasha linafanyika wapi maana naona tangazo tu kuwa linafanyika leo tarh27 Nov2015
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Nikki Mbishi - Baba Salehe unaionaje? Mi nimeiskiliza mara zaidi ya 40, na yote anayosema ni ya ukweli. Wewe umeisikiaje?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kuna nyimbo nimesikia kwenye radio ameimba mdada inambwa... 'Navu..navumilia baby you are my only haaaaaa' ameimba nani hii nyimbo??
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Baada ya ukimya wa muda mrefu, hatimaye leo Mfalme wa Bongo Flavor " Alikiba" ataenda kuachia wimbo wa Taifa aliyoimba na Christian Bella, Baada ya Bella kuona anataka kuzidiwa ikabidi aimbe na...
0 Reactions
65 Replies
13K Views
Wakuu wa entertainment! Moussa Diallo simfahamu, lakini kuna wimbo mmoja maarufu sana bahati mbaya nimesahau jina lake. Ni maarufu kwelikweli ila wa zamani pia! Nasikia aliyeimba wimbo huo ni...
0 Reactions
0 Replies
721 Views
Mwanamuziki Adele hivi karibuni ameachia kibao chake kinachoitwa hello, ni ngoma ambayo imepata waangaliaji wengi youtube kwa kipindi kifupi, kusema ukweli ni kibao kizuri kakiimba vizuri na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamaa mmoja huko nchini Zimbabwe kwa babu Mugabe kashinda kwenye shindano la kumsaka mkali mwenye sura ngumu (sura ya kiume) , na hatimaye kujishindia kiasi cha Dollar 500 US, Jamaa huyo...
0 Reactions
5 Replies
10K Views
Bwana Yesu Asifiwe! Ile dhana kwamba usanii ni kuelimisha jamii, sasa kwa baadhi ya wasanii wetu wa muziki wa bongo fleva umepotoka na hatimaye kuiharibu jamii. Hili linatokea pale wanapotoa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari zenu? Jamani yeyote alie mpenzi wa tamthiliya hii inayooneshwa ITV na CITIZEN tupeane habari zaidi ningependa kujua anaefahamu marudio yake kwenye citizen tv maana wao huionesha saa8 mda wa...
2 Reactions
1 Replies
4K Views
Naombwa Kujuzwa Kwa Anay Faham Hyo Video Imetengenezwa Wap ,ntashukur Kwa Msaada Huo
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kueleweshwa ukilipwa malipo ya adsense kwa njia ya western union kuna makato yoyote yanayokatwa kama Vat???
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The 10 Greatest Rappers of All Time Greatest Rappers of All Time Diehard fans, music nerds and critics love...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
salaam... jamani naombeni mnijuze lilikopotelea gazeti letu pendwa la katuni la sani. la enz za kina kipepe,kifimbo cheza na wengine wengi
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wanajukwaa najua kuna baadhi yetu tunapenda muziki na huenda katika nyimbo unayoipenda kuna baadhi ya maneno huwa huyapati vizuri so tutakuwa tukipeana lyrcis za nyimbo hapa. Hili ni kama...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Baada ya kazi hii kutambulishwa rasmi jana kupitia kituo cha Mtv base, leo Joh makini amekiachia upande wa youtube Wimbo : Dont bother Producer : Nahreal Director : Justin Campus Location : South...
6 Reactions
30 Replies
8K Views
Hebu burudika... https://www.youtube.com/watch?v=pbmjF7V89iI&list=PLYdGiQ7Qm10o5fagoWEXwIykSU1JGOJDn
0 Reactions
1 Replies
963 Views
Msanii aliyesainiwa chini ya WCB, Harmonize leo ameachia rasmi video ya wimbo wake Aiyola.. Video hii wameshoot South Africa na imeongozwa na Nick Roux (moja ya video alizotengeneza ni Love...
1 Reactions
22 Replies
11K Views
Back
Top Bottom