habari wakuu natafuta huu wimbo wa zouk wenye maneno haya
Wimbo wa kwanza 1
KATA LAYI SOKI O BINAKI
TE Tete eeeeeeeeh, TITA ANHAAAAA TITANIKEEEEE OYA TITA YAYA ANHAAA TITANIKEEE...
Nimekuwa nafuatilia mziki kwa muda mrefu. hivi sasa namuona huyu msanii nikk mbish au baba malcom, analeta bifu zisizo na msingi.alianza kumponda nakki wa pili ktk wimbo wa punchi kwenye line...
Drop any fact that's in the entertainment industry that the mass probably wasn't aware of.
* Chaka Zulu has been Ludacris' right hand man and manager for over 10 years now. The most interesting...
Habarini wakuu.....
Nahitaji mwalimu wa kunifundisha music wa noten, mimi napatikana mwanza....
Kwa alietayari ani pm, malipo yatakuwepo!
Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu
Asanteni
the walkers sio hasa jina lake, the walking dead inatisha. nimeshaona season 1-3 ya mwaka 2013
kwa wale wenzangu wa haya mazombi naomba kujua season zimazoendelea mji ulivamiwa, governor...
Habari wanajamvi,kuna mambo kadhaa naona hayako sawa na ndio mana sanaa yetu inaonekana iko nyuma kila siku.
Inadaiwa kuwa ili kuwa wakimataifa lazima kazi zako zionekane kwenye vituo vya...
Get your VIP GOLD CARD Delivered to you personally by our Beauty Queen Nelly_kamwelu the Miss Universe Tanzania 2015. For more information about tickets please contact (+255 768 129 974) ASAP...
Fikra za kuwatafuta wazazi wake ziliyeyuka kabisa na kujikuta akipenda kitendo ambacho anakifanya na bi zuwena. Miezi miwili tangu waanze kufanya tendo hilo na wamekua mithli ya mke na mume. Mzee...
Miezi mitatu sasa tangu Hashir aanze kazi kwa mzee ochu, mshahara wa hapo ulimfurahisha sana Hashir mpaka alijikuta akifungua genge kwa bibi yake huko magomeni. Maisha kwao yalianza kua mazuri...
Wadau wa jamvi hili, hususani wapenzi wa rnb, Leo tena nawaletea mbili kali za kukuliwaza: Ya kwanza ni Have a little mercy kutoka kundi linaloitwa 4.0
Na track ya pili kwa siku ya leo ni All...
Wimbo wa '''BAO''' wa WAGOSI WA KAYA
Umejaa 'Ubunifu' sana mle ndani... Lakini ukiusikiliza Juu Juu unaweza sema jamaa wameimba Matusi...
Mstari upi unaoupenda mle ndani???
STAA wa filamu za Bongo, Vincent Kigosi Ray yamemkuta baada ya ile ishu yake ya kutengeneza filamu inayoitwa Sister Marry ambapo mapadri wamemtaka asiipeleke sokoni milele.
Ishu hiyo ilitokea...
Yeyote anayejua historia yote kuhusu huyu mwanamuziki mashuhuri wa enzi izo katika democrasia ya congo anaitwa MAYAULA MAYON anijulishe nipate kujua,maana ninamkubali sana.pia anitajie na majina...
Ndugu wana jamvi kuanzia leo nitakuwa nawapa rnb kali za kumalizia siku yako. Kwa leo tunaanza na Tank na kibao chake better than me, angalia usije dondosha chozi kwani ni track yenye hisia sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.