Natanguliza shukrani mwenye wimbo huu wa BETY, ulioimbwa na juma kakere, ft sintha, anisaidie kwani nimeutafuta youtube hakuna na sehemu nyingine, nitashukuru sana.
Group classes are more than the loud music, fast movements and shouts of encouragement that are seen and heard in a fitness room. You should never be bored with the variety of exercise choices...
Habari za muda huu wadau.
Hope mko poa kabisa,well naomba msaada nahitaji hiyo movie tajwa hapo juu kama kuna mwenye link ya ku-stream au ku-download anisaidie wakuu coz nimejaribu pita kwenye...
Yemi Alade, Wizkid, Davido, and others win big at AFRIMMA 2015
The event was hosted by top Nigerian comedian, Basketmouth and Uganda's Ann Kasiime, while Emma Nyra was the red carpet host.
The...
Passfeed social networking new version 2.0 release is turning heads and providing students already on the network more flexible options and speed of usage. With this new version, the community has...
Katika hili jukwaa letu la celebrity na burudani kidogo nimeona niweze kuangalia maoni ya watu kuhusu wimbo bora Wa kampeni hizi.
Mpaka sasa Kuna nyimbo ya diamond magufuli no one, ambayo...
What'sapp..
Wadau tuzungumzie kidogo usimamizi wa muziki Tanzania.
Ni kwafaida ya wengi hasa wale wanaofanya music..kama mimi
* Je! Ili uwe msimamizi inabidi uwe na sifa gani?
* Ni kazi zipi...
Jumanne Iddi alipita kwa kishindo sana maana alikua na nyota nzuri lakini baada ya hapo hadi sasa wanaovuma ni wengine like Kala Jeremiah na wengine. Wachambuzi walisema mwenye kipaji alijua KJ...
Kuna rapper mmoja kutoka US, Kevin Gates mmoja kati ya marapper wenye michano unique na anaekuja vyema kati ya gemu la kufokafoka huko marekani. Nimetokewa kuvutiwa na namna ya uandishi na flow za...
Ile bendi maarufu ya chama chetu cha kijani ambayo ilikuwa inatumika sana kipindi cha kampeni kama hiki kumnadi mgombea wetu wa chama, hakika bendi hii ilikuwa moto wa kuotea mbali, wako wapi...
Amani iwe nanyi!
Tafadhali naomba mnijuze wapi naweza kupata hii series ya China inaitwa "A Beautiful Daughter-in-Law Era", hii ni ile series ambayo ilitafsiriwa kwa Kiswahili na kurushwa na TBC...
Jana Usiku Kupitia Diva na ala za roho ya Cloudsfm Aika na Nahreel ( navykenzo ) walisema wanatarajia kufanya Collabo na Patoranking.
Wakizungumzia Patoranking wanasema walikutana nae mwaka Juzi...
Jon Snow the Lord Commander isn't dead!!! He was seen filming season 6 in Northern Island.He is pictured wearing the Stark armour, i guess he isn't watching anymore.
Oh the show could have been...
Mkasi kila nikijaribu kuangalia show yenu on Youtube ili kuwa updated na habari za nyumbani nazidi kuwa disappointed, badala ya kwenda mbele mnarudi nyuma. Mwishowe sitakua na budi ila kuacha...
Wadau,
Naomba msaada, kwa mtu mwenye nyimbo ambazo hutumika kwenye mashindano ya Dance mia mia nazipenda sana, au kama unazifahamu majina yake. Mimi naifahamu moja tu ya gweta.
Nitumie to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.