Ni vipi humu ndani?!. Natumaini mko poa asee.
Katika moja ya aina za muziki nnazokubali mahadhi na rhythm zake ni ile ya Rock. Ingawa sio aina ya muziki ambayo inajulikana na kupendelewa sana na...
"Flirtin' With Disaster"
I'm travelin' down the road and I'm flirtin' with disaster
I've got the pedal to the floor, my life is running faster
I'm out of money, out of hope, it looks like...
daaa nlikuan na wazia kua celebrity siku moja ila bado nakutana na vikwazo vingi sana. mf msanii kupata mkwanja anategemea sana show, vinginevyo ni viguu, ishu za ringtone bado naona hali tete...
Kuna album moja ya papa wemba nilikuwa nayo mwanzoni mwa miaka ya 2000 ilikuwa na nyimbo nzuri ambazo kwa sasa nimezisahau.
Katika album hiyo kulikuwa na wimbo ambao papa wemba alikuwa akiimba na...
Wasalaam,
Hizi ni nyimbo nzuri ambazo nlitakwa kuwashirikisha mzitafute na kusikiliza.
1:Yours-Ella Henderson.
2:Stick with me-Olly Murs.
3:Waves-Mr Probz.
4:Jealous-Labrinth.
5:Glow-Ella...
1. 300.(1 & 2)
2. Give em hell malone.
3. SAW(All the series).
4. The Equalizer.
5. Sin City 1 & 2.
6. King Arthur.
7. The Inglorious Bastards.
8. The Bourne (series)
9. Gladiator.
10...
Maandalizi yakiwa yamepamba moto nyumbani kwa Diamond, Madale jijini Dar.
Wanafunzi wa Madrasa nao wapo kwa ajili ya 40 ya Tiffah.
Eneo itakapofanyika 40 ya mtoto wa Diamond, Princes Tiffah...
Add to the list; me zangu ni hizo hapo kwa leo.
Cold play- Magic
Uptown funk- Mark Robson ft Bruno Mars
Jealous-Nick Jonas
A sky full of stars-Cold play
The Matrimony- Wale ft Usher
What i did...
Ndugu wadau mie mpenzi wa bendi ya fm academia kwa hiyo leo weekend nataka nikafurahi nao ila sijui watataumbuiza ukumbi upi kwa mwenye kufahamu tafadhali anijulishe,Nawakilisha kwenu wadau Asanteni.
Wadau nautafuta wimbo unaoitwa The world's going bad. Umepigwa kwa mtindo wa reggae. Nilikuwa nikiusika, na ulivuma sana kunako miaka ya 1990. Zamani nilikuwa nikifiria ni wimbo mwanamuziki Sophia...
Wapenzi wa muvi habari zenu?
Bila shaka mmeshaisikia ama kuiona hii muvi ya the black mass ambapo yule mcheza muvi maarufu John deep kaicheza, mimi sijaiona naombeni mnisaidie jinsi ya kuipata...
Kumbe watu wengi wameshangaa Sanaa kum date
French Montana...wengi wanaona kajishusha sana na atajutia soon...
nilifikiri ni peke yangu nilifikiri hivi soma maoni ya watu humu
Sanaa Lathan...
- The Needle
lyrics
I am not a qualified physician
And I donât want to give this
injection
I am not a qualified physician
And I donât want to give this
injection
Dorothy is begging...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.