Hivi mtangazaji gani hasa ndo ana act kama mwewe kwenye habari za cloud tv?
najua wapo tofauti tofauti but kuna mmoja ndo anakuwa often na ndo anaipatia sana hii segment ya mwewe
wengine huwa...
Mara nying huwa sipend sana kuzungumzia wanamuziki. lakini kuna mtu ninapozungumzia muzik wa Bongo hasa Hip Pop ( mtanisahihisha kama nmekosea kwenye kuandika) siwezi msahau huyu jamaa Fid Q. huyu...
Amini usiamini huyu kijana hakuna wa kumfananisha naye kwa sasa Afrika Mashariki na kati katika suala zima la muziki.Kafanya mambo makubwa ambayo hakuna msanii ambaye ameweza...
Google wakishirikiana na You tube wameruhusu wabunifu(creators) kupata mkwanja kupitia video content wanazoweka you tube kupitia matangazo(advertisiment),
Paid subscriptions na merchandise.
Hii...
Msanii huyo wa bongo fleva na mshindi wa KTMA 2014/15 Ali Kiba amesema hayo alipo ongea katika kipindi cha Leo tena cha Clouds Fm yeye hana nguvu kuzizuia timu za watu kwenye mitandao ya kijamii...
siku ya jana kiba alifanya jambo ambalo si la kawaida kwa wasanii wengi.aliamua kuzunguka kwenye madalala ili aweze kuongea na mashabik wake. alianzia mbagala mpaka posta, kisha posta mpaka gongo...
Milard ayo unataka kuniambia huna habari zozote kuhusu MTV AWARD na hujui Diamond na Vanesa Mdee ni nominees kutoka Tanzania..... au ndio mambo ya bifuuuuuu
mbona blog nyingine zinaendelea...
Meneja wa Diamond Platinumz amenena kuchukizwa na kitendo cha Kampuni ya Rockstar 4000 kujitambulisha iTunes kama wauzaji wa nyimbo za Diamond Platinumz. Meneja huyo amedai kuwa wao hawana mkataba...
Hulk Share - Music Distribution Platform
Bonge la harakati sikiliza vijana.Ninaamini hawana chama lakini ukiwasikiliza kwa sababu wameimba vitu vya kweli moja kwa moja utahisi wana kadi za Chadema...
T.I.D ni miongoni mwa wasanii wa muziki wa bongofleva wanao tajwa kama watumiaji wa " Dawa haramu za kulevya " ( PLEASE HAPO KWENYE 'DAWA HARAMU ZA KULEVYA' SOMA KWA SUATI...
Hii ni mahususi kwa wale wote ambao walikuwa na shauku kubwa ya kutaka kumjua 'Jimmy Mcmelle' ni mtu wa aina gani, maana nimepitia Comment nyingi za watu huku wengi wao wanaonekana wanafuata...
This is a special exclusive to those who have not heard about this new young talent "DREAM".Now he has released a very hit song called "TUFURAHI" which is now soothing the airwave.Everyone who has...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.