Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Wakuu huyu msanii level nyingine kabisa karibu kila wimbo alioimba mwaka 2014 hata za kushirikishwa zimekuwa nominated kwenye tuzo za killi music award. Mfano wa hizo nyimbo ni; 1.gere-joh, nick...
6 Reactions
133 Replies
18K Views
Tazama wimbo huu utabarikiwa jumapili ya leo...Bwana asifiwe http://m.youtube.com/watch?sns=fb&v=ap7-2QbhW2c
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Please kwa anaeufahamu huu mkoa naomba anisaidie kuniambia kama lindi kuna sehem gani za kitalii , sehem gani za burudani ili siku niende kama vp. thanks
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Heading inajieleza, namaanisha kwa jinsi watanzania tusivyopenda mtanzania mwenzetu atuzidi saana, yaani kama kutuzidi atuzidi kidogo tu, aendelee kuwa wa kawaida. Naamini kabisa kwa tabia hii...
3 Reactions
65 Replies
6K Views
Natafuta nyimbo ya best naso-ediga
0 Reactions
1 Replies
9K Views
Mashabiki tunatoa support kubwa kwa wasanii kuliko tunavyo fikiri.. Kuna baadhi ya wadau naona wanarukaruka hili lakini unapozungumzia mafanikio ya mwanamziki asilimia kubwa sana ni sisi kwa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Jamani wanajamii wenzangu naomba MwanaJamii yoyote ambaye anajua ama alishafatilia mmiliki wa website ya Bongo5. Maana kwa tafiti chache niliyofanya inaonesha wazi Clouds Media Group wana ubia...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Mtaalam AY ameachia bonge la song. Wapiga shoo za mpwapwa waushuhudie.. =======
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sikiliza nyimbo ya ACT inayofafanua vizuri malengo ya ACT. ACT inandelea kukua na kuchapa kazi. Muda ni huu wa kujiunga na chama kinachoipigania Tanzania bora...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Nawaza tu joh makin kushindwa kupata tuzo ya wimbo bora wa hip hop.sasa huo utunzi bora kawazidije wenzake huku wao ndio wana nyimbo bora?
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Hawa EATV wana matatizo gani? Inakuwaje watangazaji wake wazuri na MaDJ zake wazuri wote wanakuwa poached na Kampuni nyingine..? Kaondoka Adrian Kaondoka Mafuvu Leo kaondoka DJ D Ommy
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ile collabo mpya ya muimbaji wa Afrika Kusini, Donald na Diamond Platnumz ni mradi ambao Donald anauchukulia kwa uzito mkubwa, kiasi ambacho hajataka kuchelewesha sana mambo. Baada ya kuingia...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Je,wewe ni kijana mwenye kipaji cha sauti?Je sauti yako inaweza kutumika kurekodi matangazo ya redio?Kama jibu ni ndio,basi jiandikishe nasi leo ili ushiriki usaili wa sauti kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Wakirudiana itakuwa poa zaidi, couple yao inawapendeza zaidi. Rihanna & Chris Brown Love: Only Man She Totally Connected With - Hollywood Life
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna kijana wangu anapenda sana music hasa wa gospel, tayari ameweza kuwa na nyimbo zake ambazo zinavutia, Sasa anatafuta promoter. Nisaidieni Natanguliza shukrani kwa niaba yake
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Jamani, Ben Pol can sing. Yani anasisimua sana na kipaji chake. Aliwahi kusema kati ya simu kumi anazopokea, nane ni za kuombwa kupiga chorus. Hao watu wanaona anavyoimba vizuri ndo maana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nani Ana Wimbo Wa At Ft Alikiba Jina La Wimbo Usikomae Nae Anisaidie Kupata
0 Reactions
2 Replies
4K Views
mangi umeua! eti ndorobo!
5 Reactions
67 Replies
16K Views
Back
Top Bottom