Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Naomba nianze kwanza na hichi kipengere,iv kuna mtumbuizaji bora apa bongo zaidi ya diamond kweli? Na kama wanaangalia show basi Chibu is da best kabisa,kwa mwaka huu Kiba sidhani kama alikuwa...
2 Reactions
57 Replies
6K Views
Sikatai kiba anajua mziki lakin hajathubutu n diamond anajua na amethubutu,Ubora wa Aly kiba ni ukongwe kwenye game bt diamond anajua nini anachokifanya ndomana kwa sasa anajulikana kimataifa...
0 Reactions
1 Replies
794 Views
Nimejaribu kuziangalia mara kadhaa hizi terminator trilogy kama, terminator, judgment days, rise of machines, salvation na trailer la Genesis(coming soon). Idea kubwa ktk movie ni time travel na...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Naomba kwanza kwa ngebe.....majigambo....mbwembwe .......heshima......taadhima.......misifa........nyodo ......na ufahari mkubwa kutamka wazi kuwa mimi ni "die hard" and "true fan" wa muziki wa...
7 Reactions
71 Replies
10K Views
Ndugu yenu kiba hana uwezo ila kwakuwa hamkuwa na kazi ya kufanya kupanga matokeo tofauti na yanavyotakiwa kupangwa Ipo siku uwezo wa mond utaonekana wazi tu mana watz walio wengi hawapend...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Closed
Instagram hapatoshi, anayejiita ze kingi of all sosho media in Tz anatumia nguvu nyingi sana kupinga matokeo ya ushindi wa tuzo za watu wa King Kiba kwa kutupilia mbali na kudharau taratibu za...
0 Reactions
577 Replies
47K Views
==== Kutohudhuria kwa Lady Jay Dee na Mzee Yusuph ============ Yaani hawa watu wawili wanadharau sana,tena huyu JIDE ndo haswaa kila mwaka siku ya tuzo haji anaagiza watu tu wamchukulie tuzo...
0 Reactions
687 Replies
100K Views
Sitaki kuamini kwamba Tuzo hizi zina upendelea. Naamini kwamba tuzo zimetokana na jitihada binafsi za washiriki. Binafsi ningependa kuwapa Pongezi za kutosha kwa viongozi wote wa #TeamKiba .
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu wanaJF,utakubaliana na mim kwamba siku hiz mziki umehama toka kwenye uhalisia na umebaki kuwa mziki wa makundi.Washabiki wa mziki tumekuwa hatuangalii tena ubora au mapungufu ya kaz ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Haiingii akilini wimbo uliotoka mwezi Novemba na kutamba miezi miwili,ushindanishwe na wimbo uliotoka mwezi Machi na kutamba miezi kumi ktk mwaka husika.Ndio maana wasanii wapenda tuzo wanatumia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
VERSE 1. Alikuwa binti mzuri, Enzi akiishi na babake, Alipendwa sana, Coz alimpata kwa shida, Alipendeza kwa mavazi kila siku ukimuona, Alivaa black shoes, Iliyolandana na ngozi yake...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii imeandikwa instagram na Le Mutuz aliyepata mtonyo kuwa TBL wameambiwa wakae pembeni. Inabidi usome viambatanyisho hapa kupata habari zaidi Hii inasikitisha kuwa BASATA wanafanya haya...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
For the first time live, Tonight
7 Reactions
198 Replies
20K Views
Ali Kiba amemfunika Shilole huko USA baada ya show yake kupata watu wasiozidi 30. Msanii huyu mwenye tuzo ya watu ambaye alitangaza kutopiga tena show za playback, lakini show hii aliimba juu ya...
4 Reactions
117 Replies
22K Views
yaan sio siri show ya kilimanjaro awards 2015 imepoa sana.. zembwela show imekuzd uwezooo!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna mambo mengine huwa ni uamuzi tu. Kufanikiwa kwenye jambo lolote lile maishani kunatokana na namna mtu anavyolitazama hilo jambo. Ni suala la kukuza picha tu. Watu wafanye mambo huku wakiwa na...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari zenu wadau , Mimi ni kijana mwenye ndoto za kufanya mapinduzi katika sector ya film Tz ,Nina imani kwa script zangu nilizo kuwa nazo na uwezo wangu wa kuigiza nita weza kufanya vitu adimu...
0 Reactions
3 Replies
999 Views
Wakuu poleni na majukumu nina utafuta wimbo mmoja wa marijani rajabu...anapiga sana guitar halaf anasema Huyo humuwezi daktari wake mimi je unaitwaje? nitashukuru sana sana kwa atakayenisaidia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom