Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
wakuu naomba mnikumbushe title ya wimbo wa marijani rajabu anayesema Huyu humuwezi daktari wake mimi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Huyu mwanamama alitengeneza nyimbo kali sana, nikicheki picha ya huyu mrembo nakumbuka ngoma hizi zake kali sana umqombothi, motherland,makoti , im in love with a dj, Sangoma ipi ilikuwa hot...
0 Reactions
15 Replies
9K Views
wadau kuna nyimbo za taarabu za zamani zilizopigwa na abdul misambano akiwa na leila khatibu.nimezitafuta mpaka nimechoka.Leila wangu,asuu, nk nitazipata wapi jamani? Msaada tafwadhari! @jamani
3 Reactions
26 Replies
9K Views
Lile shindano la kusaka vipaji vya wanamuziki Tanzania sasa limerudi tena baada ya kupotea kwa mwaka mzima 2014 na sasa litakua likirushwa na CLOUDS TV pamoja na Star TV alisema jana madam Rita...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nimekaa sehemu na maji yangu na nyagi pembeni nikaskia nyimbo kali sana. Mhudumu hajui title ila kaniambia ni kala jeremiah na roma. Hawa vijana hatari. Naomba mwenye clip na lyrics aweke...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Diamond Platnumz anazidi kuthibitisha nguvu aliyonayo. Ni siku 12 tu tangu aachie video ya wimbo wake ‘Nana' aliomshirikisha Flavour, lakini tayari imepata views zaidi ya milioni kwenye...
2 Reactions
36 Replies
10K Views
Wakuu, Hivi inakuaje msanii anafunikwa na mtu aliyemshirikisha kwenye wimbo wake? Yaani aliyeshirikishwa ndio anasikika kuliko mwenye wimbo na hapa kuna mifano lukuki. Chukulia yule msanii wetu...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Tuzo za KORA-All Africa Music Awards 2015 zimerejea kwa kishindo, ambapo zawadi kubwa kwa mwaka huu itakuwa USD 1 Million (sawa na zaidi ya shilingi bilioni 2). Wasanii wa Afrika na diaspora...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani ndugu wana jf wenzangu nilikuwa naomba mwenye riwaya ya separated family anijulishe ninaitafuta sana niisome. Naomba ushirikiano wenu
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wimbo mpya alioufanya davido akishirikiana na Rapper anaejulikana ulimwenguni kote, Meek Mill aliyechini ya label ya Maybach music ambaye ni mpenziwe mwanadada Nick Minaj unaonesha jinsi gani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwanza kabisa naomba nijihami,sina lengo la kisiasa hata kidogo kwa kitu ntakachokiandika hapa,ni hobby tu nothin more. Siku January Makamba anatangaza nia,kuna kawimbo fulani hvi walikuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu ,wadau marudio ya kipindi cha wema in my shoes ni lini ?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
521 Kipindi inatoka chekecha chekechua ya alikiba team domo waliongea sana kuwa beat imechakachuliwa toka kwa wimbo wa matonya -unanimaliza....haya sasa NAKUKUMBUKA ya diamond ni copy na paste ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Zimebaki siku mbili tu ili tuweze kushuhudia mpambano wa Tuzo za Muziki za kili Mpambano mkali unatarajiwa kati ya Kiba na Dimond Tukae mkao wa kula......... Hitmakers hawa wako kwenye upinzani...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
wakubwa naomba kujua jina wimbo huu au artist aliyemba coz nilikasakia clous .churus tomorow and day after tomorow fikri kwanza na jibu ni kiporo
0 Reactions
2 Replies
735 Views
Kuna jambo linanitatiza sana kwa nini wasanii kama kina NEY WA MITEGO, DUDU BAYA, TEMBA, DIAMOND wanapokua jukwaani wanaimba mkono moja kashika mic lazima mwingine atashika katikati ya suruali kwa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Naomba kuwasiliana na Diamond katika masuala ya professional .Nahitaji nipate contact za uhakika za watu muhimu wanao simamia kazi zake hapa Tanzania kama (manager ,Press&Publicity officer, and...
0 Reactions
29 Replies
19K Views
Habari zenu wadau, Ninapenda sana kujifunza mambo yanayohusu mziki, hii ni pamoja na kujifunza kupiga vyombo kama piano, drum na guitar Lakini sifahamu ni maeneo gani naweza pata mafunzo kwa...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Mfano hawa kina Mark Zuckerburg (mmiliki wa FB whatsup, na Instagram) na wengine wanaingizaje kipato kwa kupitia hii mitandao wanayomiliki? Maana hawa watu wamepata utajiri mkubwa kwa kupitia hii...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom