Wakuu kwakwel mpaka sasa sielewi nini kimetokea kwa hiz siku 3 tu, Jirani yetu katoa Video 2 mfululizo kwa mbwembwe nyingi ikiwemo ile ya "Nana" alofanya na Mr.Flavour, pia na ile aliyofanya na...
TOP ARTIST
Ariana Grande
One Direction
Katy Perry
Sam Smith
Taylor Swift -- WINNER
TOP COUNTRY ARTIST
Jason Aldean
Luke Bryan
Florida Georgia Line -- WINNER
Brantley Gilbert
Blake Shelton...
Sijui ni lini watu wa Industry ya Bongo movies waliingia mkataba/ ubia na mabasi ya abiria nchi nzima kutulazimisha Watanzania kuangalia movie hizi za still picture na mnato zikisindikizwa na...
Wimbo bora wa mwaka: Je, kuna wimbo bora zaidi ya Mwana?
Wimbo bora wa Afro pop: Je, upi zaidi ya mwana? Au unataka uniambie ule mchiriku wa mdogomdogo kutoka kwa jirani yetu? Hahahaha..
Mtunzi...
Below is a list of the 10 most viewed music videos by Bongo Flava artists
1. Number one(remix)- Diamond ~ 8,776,520
2. Number one- Diamond ~ 4,384,532
3. Ntampata wapi- Diamond ~ 4,072,701
4...
Wana Jf
Sasa hivi nina kama miaka 5 nacheza online betting(ladbrokes.com), napendelea sana soccer, sometime ice hockey,
tennis, baseball na basketball. Kuna wana Jf humu jamvini wanatumia hii...
"Again n again" - Ni mtazamo tu!
Laiti kama ningelikuwa FID Q Mwana Hiphop mkali Bongo;
- Ningepiga collabo na Fat Joe faster pale tu nilipokutana nae na kuonesha kukikubali kipaji changu.
-...
Kwa wale wapenzi wa mieleka kama WWC, WWA. Ambapo kuna wapiganaji kama John Seaner, Hulk Hogan, TRIPLE H. na wengineo.
Swali; Hivi kwanini hawa jamaa licha ya kupeana vipigo vya mbwa mwizi...
Ilitangazwa kuwa wata wakilisha Tanganyika kwenye hiyo project.
Lakini namuona Fid q na narleal tu wakiwa huko Nairobi.
Vipi hao wengine au ndo zilikua story za vijiweni tu?
Yaaap! samahani lakini! Bila shaka tunaenda sawa. Laiti kama ningelikuwa Ally Kiba, ningefanya yafuatayo;
- Ningeua nyani huku namuangalia usoni. Yaani ningevunja vunja uongozi wangu wote na...
Jamani jana si ndo zanzibar wanjera
Concert ..cha kushangaza hakuna anayetoa yaliojiri vipi ilikuwaje na mashauzi ya Mr vishimo mpaka sasa hivi IG kimya naye mama Wanjera kimya wars going on
Wakati 'Nasema nawe' bado gumzo, Chibu kadondosha hit la maana 'Nana'. Na sasa kuna track jipya lime leak, pata wasaa umsikilize dogo, ni noooma aisee..
Wasanii wetu wanafanya kazi kubwa sana.... hii nadhani imetokana na kufanya mziki km kazi zingine tu...
Playlist yangu bongo fleva ina asilimia kubwa sana compare to other music....
Km huna hizi...
Habar wakuu!
Ni mwezi huu June ambapo Mfalme ataenda kubeba tuzo zake 7 za KTMA
Ni mwezi june ambapo Video ya chekecha itakapokwenda kutoka ambapo inategemewa kwenda kuvunja record ya video...
Wapenzi wa burudani mnaonaje kuhusu aina ya nyimbo na maudhui wanayoimba hawa wasanii.Ni yupi unamkubali zaidi,unafikiri wangekuwa watunzi wa stori za maisha wangefanya vizuri zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.