inaitwa cast away. imetoka 2000. mastaa ni Tom Hanks na Helen Hunt. Hank alikuwa anafanya kazi Fedex. katika safari zake ndege yao ilianguka bahari ya pacific. Hanks peke yake alipona na mawimbi...
​
For over twenty years, video director Hype Williams has been turning out four-minute fantasias for the biggest names in rap and R&B. With a fish-eye lens in one hand and a briefcase of...
Wadau sijaweka hii post kwa ubaya hapana, ila ni kuwakumbusha tu management ya Alikiba na mashabiki wake kwamba wanapaswa kufanya kazi ya ziada kumuuza kijana wao ili aweze kufanikiwa level za...
Habarini wandugu,
Hivi karibuni familia yangu imepata zawadi ya Keyboard kutoka rafiki yetu anayeishi nje, hivyo ningependa kufahamu kama kuna kituo cha kujifunza niweze kutumia muda wangu wa...
Habari wana ukumbi; kuna filamu iliyochezwa wahusika walikuwa 2 white men and black man (kibonge)ambopo Huyu black wakati wa mchezo alikatiza kwenye mto na mamba walimuuma mguu na akashindwa...
Well Nimekuwa nikipokea maswali na Comment nyingi eti kwanini sitangazi vipengele vyangu vya Tunzo watu wanipigie kura...tafadhali naomba mniskilize kwa umakini:
Ikiwa MOE MUSIC hakuonekana ni...
Kama leo yakifanyika mashindano ya BSS au Tusker project fame na mengineyo kama hayo, na washindani wakabaki wawili Diamond na Kiba basi nahakika pasi na shaka Alikiba ataibuka mshindi kwa maana...
Imevuja hatimaye star wa kubinua vitako vyake kushoto na kulia kwa staili ya Mchuchumio Daimond Platinumz a.k.a Nassib Abdul ameimba wimbo wa kutoa machungu ya kukimbiwa na aliyekuwa mpenzi wake...
GT tukumbushane nyimbo za zamani iwe za bongo au mbele, ladha tofauti, hip hop, raggae, ragga, rumba, zouk, soul, pop au R&b.
Sema wimbo unakukumbusha nini na wapi.
Kama hutojal tupia wimbo...
Wale Wakongwe Wenzangu Hasa Miaka Ya 80-90 Nadhani Huyu Mtu Mnamkumbuka Vizuri Jinsi Alivokua Kivutio Kwenye Sinema Za India Kama Ile Ya Tazan
Rest In Peace Kubwa La Maadui
This article has been largely inspired by Diamond Platnumz,East Africa's biggest music superstar whose success,overtures,fortunes and fame eclipses pretty much anyone else in this whole region's...
http://3.bp.blogspot.com/-unKvhhzCjrA/VXGx0a-moOI/AAAAAAAAQoI/B3A-kVGUp2I/s1600/1.JPG
Paul Njau
SHINDI wa mchezo wa kubahatisha wa Vodacom Jay Millions Danny Paul Njau kupitia jina la Innocent...
Daah! Pamoja na Mzee Majuto kutumia muda wake kuipamba Instagram Party, kumbe mzee wa watu mwisho wa siku katoswa hajapewa hata mia, kuanzia hotel, chakula mpaka usafiri katumia hela yake...
Mimi sijaelewa hizi nafasi hua zinapatikanaje! Ili mtu aqualify kua jaji TMT anatakiwa kuwa na vigezo gani? Au tu kwa sababu mtu ni migizaji ndiyo kigezo? Hapa ndo mtu unajua kua ni kupeana tu...
My take: Hivi ni vigezo gani huwa vinatumika mpaka msanii anakuwa nominated, maana sijaona kabisa kijana wetu Diamond akiwa nominated mwaka huu japokuwa bado anaendelea kufanya vizuri.
Mimi kusema kweli siko timu Kiba wala timu Dimond. Mi nawapenda wote, na wote nafurahia kazi zao kwa kweli. Tena nawapongeza sana kwa huu ushindani wao wa kimuziki. Kiukweli unawafanya wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.