kwa Afrika mashariki wasanii wenye ngoma kali ambazo zimehit kwa mwaka huu na miaka iliyopita kwa Tanzania,Kenya,Uganda na Rwanda.
kwa Tanzania.
Diamond Platnumz
Joseph Haule
Rich Mavoko
AY...
Wadau na wapenzi wa movie tuambiane na kusimuliana Movie tulizoziona, zitakazotoka miaka husika hapo juu.
Mimi naanza
1. 3 Days to kill(2014)
hii movie usiache kuiona ni kali balaa
2. 47 Ronin...
Where is he buried?
Is the mighty Umslopogaas, the axe-wielding hero of Sir Henry Rider Haggard's Allan Quatermain and Nada the Lily, buried under the playing fields of Clarendon Primary...
TUZO ZA WATU KUTOLEWA LEO, JIMMY KABWE KUHOST, BEN POL KUZINDUA VIDEO YAKE MPYA
Tuzo za watu za Tanzania au Tanzania People's Choice Awards zitatolewa leo kwenye ukumbi uliopo Serena Hotel jijini...
Je katika fani mbalimbali za muziki,uigizaji,mpira n.k ni collabo ipi unaikubali
1. Shaurkhan na Kajol
2. Aki na Ukwa
3. Paul na peter(p spuare)
4. Akshay na Sunil shetty
5. Andy cole na...
Kwa wanaofuatilia muziki wa Tanzania hili sio jina geni..mimi binafsi namkubali huyu jamaa kwani anamashairi na nyimbo za huzuni kama vile Narudi Kijijini.
Nadhani wengi wetu (wapenda hip-hop) tunamkumbuka hip-hop emcee wa miaka ile, Da Jo (dada Joah) from pande za Kigamboni. To be honest, this lady was my most favorite hip-hop artist among the...
Jamani nimesikia tangazo ila sikusikia wapi inafanyika Leo yamoto band na skylight band wanapiga show pamoja naomba aliyesikia Hilo tangazo inafanyika wapi please
Jamani nimezama kwa mapenzi sijui kama nitazuka naiona hali yangu taabani,wenzangu nawauliza nini dawa ya mepenzi waganga nimemaliza wa makombe na hirizi ,ilahi mola muweza ataniafu mwenyezi...
Habari gani wakuu?
Siku chache zilizopita Nilipost thread hapa Nikiomba kusaidiwa kujua jina la wimbo fulani niliousikia mara moja tu na nikashindwa kuujua jina wala aliuimba. Leo Nimeona...
Habari wadau,
Naomba kuleta hii hoja kwenu tuijadili/munifumbue macho kidogo. Hii inahusu moja ya project kubwa za kimuziki zilizowahi kufanyika inaitwa 'OKOA HIP HOP'
Hii ni project kubwa...
The best crime sagas are stories sparked by the thrill of shortsighted dreams that ultimately lead to a violent, messy end. Congolese writer-producer-director Djo Tunda Wa Munga's feature debut...
Wakuu kila nikiiangalia hii movie(animated),naiona mpya kila wakati.Hakika kazi ilifanyika katika movie hii. Ombi langu kwenu marafiki,naomba kama kuna animated movie yoyote iliyo katika level ya...
wakuu huwa napenda sana movie inazozungumzia true stories kwasababu huwa zinanifunza na kunihabarish amatukio mengi sana humu ulimwenguni baadhi ya movies ni:-
1.ZERO DARK30
2.HOTEL RWANDA...
Kwa wale wapenzi wa drama hii sio ya kukosa.
Mi nilivyoanza kuiangalia mwanzoni niliona kama
inaniboa ila nilivyoendelea sikutamani iishe aise.
Kuna drama za kufa mtu, kila mtu anam'play'...
Habari zenu wadau? Naomba mwenye Audio ya huu wimbo anisaidie,nina shida nao sana,najua hapa jamvini ndo mwisho wa kila kitu,shukrani.
Lyrics zake ni hizi:
Daz Nundaz - Nitafanya Nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.