Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
http://whatsappvidz.com/mh-sugu-mnamo-mwaka-1996/
0 Reactions
0 Replies
668 Views
Wana Jamii naombeni mwenye nyimbo za Tenzi za rohoni za Dini ya Kikristo naombeni link ya jinsi ya kuzipata
0 Reactions
0 Replies
630 Views
Nakapenda haka kawimbo, bt cjajua ni wasanii gani wameimba.Nimekasikia Mara mbili tatu clouds fm bt kila Mara nakuta ndo kanaisha isha au washataja details. Wapo wawili mmoja anaimba ,sauti Nzuri...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wadau nadhani hawa wadau wa sanaa wa Bongo Movie wana cha kujifunza angalau kidogo kutokana na baadhi ya hizi filamu ambazo kwa kiasi kikubwa zimerandana dhahiri na bayana na maisha halisi ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
hizi ni baadhi tu ya comment toka kwa viewers. halafu lawmaina78 yaonekana kijana wetu ana fun base kubwa sana kenya.ukitazama kwa umakini,comment nyingi ni za wakenya. CC Geza...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Hellow wana jf alie na wimbo wa Ukivumilia mbele kweupe wa 20% naomba aniattachie hapa.Ntashukuru sana maana huo wimbo niusikiliza kwa mbali na nahitaji niusikilize kwa karibu sana.
0 Reactions
0 Replies
9K Views
Wakuu nitapata wapi link ya free download ya nyimbo za kwaya ya barabara ya 13 Bulyanhulu.Zipo baadhi zinapatikana tubidy.com lakini zina quality ndogo na nyingine ziko vipande,hazijakamilika...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wengi wanahusisha Rap kwamba ni miziki ya Kihuni inayo-glorify violence na uhuni.., lakini ni ukweli usiopingika kwamba Raps ukisikiliza zina ujumbe pia na nyingine zinatoa nasaha safi kabisa kwa...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Kwa habari nilizozipata ni kuwa the lion king, Mr. Never give up, babuu, anajiandaa kulipua makitu baada ya kuwaachia wabana pua akitaka kuona uwezo wa wabwataji! You get to love this legendary...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Naomba mwenye mp3 ya Wimbo wa Dr Slaa Anaweza (ulitumika kwenye kampeini za CHADEMA 2010) anitumie. Nauhitaji saana
0 Reactions
1 Replies
693 Views
Baada ya kuvaa kijeshi, iliandikwa kuwa alipata kasheshe kidogo.....
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Hii nimerefer kwa wasanii wengi wakubwa wa hiphop Marekani, wengi wao kama hawajafungwa kwa kesi za umiliki wa silaha kinyume cha sheria basi watakuwa wamehusika kwenye vurugu zilizohusisha...
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Hello, everyone! Nice to meet you all. These are our free android games: Last Guardians: it is a action single game. The world in Last Guardians is submitted by dark forces, leaving only last...
0 Reactions
0 Replies
625 Views
Kupitia ukurasa wake wa Instagram kaweka hii Chorus bila shaka inaweza kuwa na ujumbe flani hasa hasa kutokana na minong'ono ya kuvunjika kwa ndoa yake
2 Reactions
57 Replies
6K Views
Waandaji wa movie wamekamilisha na kutoa trailer ya Fast and Furious 7 ambayo itatoka April 3 2015 watch here https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=Skpu5HaVkOc#t=0
0 Reactions
3 Replies
997 Views
Ana ngoma inaitwa 'Umebadilika' amemshirikisha banana zoro, lakini jana nimesikia ngoma nyingine inaitwa '13' alowashirikisha fid q na belle9. Kama kweli hii ngoma ni mpya, mbona interval baina...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mliovaa mlifaidi sana, na afro zenu kichwani. Watoto mtacheka na kuita kistool, ila hamjui raha yake.....
0 Reactions
2 Replies
936 Views
Waungwa niko DRC kwenye jiji la Kinshasa nimefika hapa juzi,, kitu nataka kuwaambia tu kwamba Nasib Abdul aka Diamond anajulikana ,,, ikumbukwe tu kwamba Kinshasa ni tofauti na Goma ninako tokea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ilitokea wakati wateja walio lipa elf kumi kiingilio na kutomwona Christian Bella ukumbini. Wateja wacharuka na kuwapiga wakongo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom