Heshima kwenu wakuu.
Samahani wakuu, naomba msaada namna ya kuipata hadithi au mwandishi wa hadithi fulani iliyopata kuchapishwa hapa jukwaani. Hadithi hii nilipata kusoma hapa jukwaani hapo...
Binafsi huwa ninapenda sana simulizi ambazo zina uhalisia wa maisha ya kila siku tunayoishi hususan kwetu sisi wapambanaji na watafutaji wa kila siku. Yaani simulizi ambazo msimuliaji ndiye...
Nafanya delivery ya kuweka Playlist ya nyimbo za dini kwenye Flash. Ukiplay playlist nzima utasikiliza kwa siku tano hujamaliza.
Sifa ya Playlist
Ni nyimbo zote nzuri sana pengine hujawahi...
Kwa wapenzi wa series napata wap vibanda au series za hivi za black america ambazo hazijatafsiriwa
Kudownload n gharama bando
angalizo: vibanda vingi vipo na za kutafsiriwa za kihindi na...
Habari zenu wakuu,
Siku kama ya leo miaka 10 iliyopita, gwiji wa muziki wa Dansi nchini Tanzania, Shaaban Ally Mhoja Kishiwa maarufu kama Tx Moshi William alitutoka ghafla na kuacha pengo kubwa...
Niende kwenye moja kwa moj kwenye mada binafsi sio mpenzi sana wa kuangalia tamthilia kutokana na kuchelewa kurudi kutoka kwenye majukumu.
Ila kutokana na hiki kipindi cha sikukuu toka pasaka...
Wimbo wa mtoto wa geti ulikuwa kwa ajili ya kuwapa faraja " watoto wa kiume" (elewa maana ya " mtoto" wa kiume) pamoja na wanaume makabwela wasio kuwa na akili za kiume.
Wimbo huo ulikuwa una...
Wapenzi wa muziki wa Dansi wengi ukiwatajia jina la Neema kumbukumbu zao hurejea kwenye sauti ya Cosmas Chidumule akiwa na DDC bendi iliyomilikiiwa na Shirika la Maendele Dar es Dalaam (Dar es...
Nisiwe msemaji sana. Kama wewe mdau wa Horror, hii gem nimeiotea leo inaitwa Trauma ya 2017.
Mademu wanne walienda vacation weekend porini kwenye nyumba flani. Kula sana bata.
Bwana si...
since nimesaini sony music sasa hivi mitaani nimekua ankwepekabo thing
driving big cars big nyashi big chains na ndoto zmekua ankwepokabo dreams
riski allhamdulilaih
kila chuma kikitoka ni...
Baraza la Sanaa Taifa (Basata), limetangaza kuwa Tuzo za Muziki Tanzania 'Tanzania Music Awards' (TMA), 2023/2024, zinatarajiwa kufanyika Juni 15 2024.
Kauli mbiu ikiwa ni "Kubadilisha tasnia ya...
Binafsi napenda mziki mzuri, hasa kulingana na nyakati.
Hali ya hewa leo na huu muda wa usiku hizi ngoma zinachoma moyoni sana.
1> Bane by Oliver NGoma
2>Samba Mpangala -Marina
3> Monique Seka...
Ushawahi kuangalia series au movie halafu ukajiuliza kwann sio popular miongoni mwa zile popular tv shows? In my opinion hizi ni miongon mwa most under rated tv shows & movie , let me know your...
Ni miaka 11 Sasa tokea kifo Cha star mkubwa wa maigizo,the great Steven kanumba kutokea,kanumba alikuwa na content yake special iliyokuwa inambeba,sijaona wakuziba pengo lake,bongo movies ya Sasa...
Habari zenu wanajukwaa?
Hii ni kwa wale wapenzi wanaopenda kusikiliza beats mbalimbali za ngoma kali..
Beats nyingi ambazo zipo mtandaoni ni za ngoma za nje ya Tanzania tu, Za TZ ni chache sana...