Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
huu wimbo nadhani uliimbwa na chez ntemba. Nimeutafuta sana, kama kuna mtu anao anisaidie plz
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Baada ya kipigo tulicho kipata mashabiki wa SPAIN, leo nimeendelea na utafiti wangu ulio anza juzi na leo asubuhi kwa uchungu nimefikia kikomo.Nilikua nafanya utafiti kujua mabinti wengi wanapenda...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jumapili ndani ya club 71
0 Reactions
24 Replies
18K Views
Prove yoself if u ar kind of genous Farmer Gray and Farmer Brown were neighbors. One day, Farmer Brown bought Farmer Gray's horse for $60. Soon thereafter, Farmer Gray began complaining that the...
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Wadau tumalize utata...kati ya awa madj wawili Steve B na Mafuvu...nani ndio mkali hapa mjini kwa sasa?
2 Reactions
43 Replies
12K Views
Mwenye hii nyimbo ya edson mwasabwite naomba anipatie/anisaidie link !.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
naomba msaada kama kuna mtu ana wimbo wa ngapulila namba 1 wa vijana jazz. Naomba unisaidie nidownload au whatsapp kupitia 0766399341
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Habari jamani! Ni miaka sasa bongo yetu imekuwa ikitembelewa na watu maarufu sana duniani wakiwemo wanasiasa, wasanii, wanamichezo n.k kupitia udhamini wa watu,makampuni na mashirika mbalimbali...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
poleni na majukumu ya kimaendeleo nnapata shida sana katika hili ebu na nyie mnipe ufahamu wenu basi kwa anayejua lkn naomba uniorozeshee wasanii wa kumi wa kwanza kurikodi muziki wa kizazi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wadau ule wimbo yule dada anaimba im looking for my joniii yule dada anaitwaje na wimbo unaitwaje?!?
1 Reactions
2 Replies
1K Views
0 Reactions
0 Replies
759 Views
kama kuna mtu ana wimbo wa diamond musica unaitwa neema. Nashangaa na maneno yakoo, umekua kigeugeuu, aaah neema aah naomba mnisaidie plz na wimbo mwingine wa vijana jazz nadhani unaitwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, nimekuta taarifa za kusikitisha kwa Watanzania wengi na mashabiki wengine wa msanii nguli wa mziki wa kizazi kipya Diamond. Je kukosa kwake tuzo hizi ni kutotendewa haki kwa msanii huyu? Je...
0 Reactions
79 Replies
9K Views
1. Kwanza hakuna cha uzalendo wala nini, Diamond anafanya hayo kwa faida yake mwenyewe, genge lake na wanawake wake. Vinginevyo angekabidhiwa bendera ya taifa. 2. Diamond angeshinda, angekua...
2 Reactions
139 Replies
13K Views
naombeni msaada wa sehemu naweza kudownload movie za mchekeshaji anaitwa russel peters
0 Reactions
1 Replies
687 Views
Hapo Chidi Benz akiwa kashikiwa bangi na Shabiki wake na kutoa kibiriti cha gesina kuiwasha kama unavyoona hapo Chini benz Jana Jumapili wakati anafanya show New maisha Club Dodoma alifanya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Msanii gani mdogo amegandamizia hii ngoma ya kwake Noel Ngiama Makanda Werrason kiasi kwamba sasa hivi anaonekana kuwa ni balaaaaaaaaaa! 02 Werrason - Libala - YouTube
0 Reactions
0 Replies
2K Views
We clawed, we chained our hearts in vain We jumped never asking why We kissed, I fell under your spell. A love no one could deny Don't you ever say I just walked away I will always want you I...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom