wadau naobeni msaada wa link yoyote ambayo nitakuwa napakulia series mbali mbali, kama vile 24hrs naikosa kwa kuwa sina lik, au kwa msaada zaid naombeni program yoyote ambayo nikiipata na nika...
Mimi ni mtazamaji mzuri wa startv hasa saa za mchana. Kinachoniudhi
ni mtindo uliozuka hivi karibuni wa kurudiarudia vipindi fulani ambavyo havina
umuhimu wa kurudiwa kila siku.Vipindi hivyo ni...
Mimi sio mfuatiliaji sana wa miziki ya kileo, lakini kuna nyimbo mbili zimetokea kunigusa sana ktk maudhui, uimbaji, na upigaji wa vyombo. Nyimbo hizo mbili ukizisikiliza utajua kuwa mtunzi na...
wadau kuna hivi vyombo viwili vinavyousika na wasanii waigizaji ambavyo ni Bongo Movie na Shirikisho la filamu. ningependa kujua vyombo hivi viwili vina utofauti upi?
Mkali wa miondoko ya RnB kutoka Rock City,Mwanza 'Future Jnl' amerudi tena kwenye spika zako na single moja hatari "Crazy" akiwa peke yake kuonyesha zaidi uwezo wake katika muziki. Hebu chukua...
Nimeangalia movies na Tv series nyingi japo sio sana ila nimegundua kuwa Africa kuna location nyingi sana za kufanyia movies, hata stories na matukio yanayotokea na yaliyowahi kutokea nchi za...
Mwanamuziki kutoka Rock City,Mwanza 'Bob Haisa' ameachia ngoma yake mpya yenye mahadhi ya Chakacha inayoitwa 'Lamsondo'."hii ni ngoma fulani hivi ambayo inanikumbusha uimbaji wa miondoko ya...
Jaman samahani naomba msaada wenu wapi naweza kudownload marichui na la levancha please nisaidieni maana nina mwaka sasa nazitafuta hizi tamthilia bila mafanikio
Msanii kutoka Rock City,Mwanza 'Malale' ameachia wimbo wake mpya 'Kampeni Za Kahawa' akimshirikisha Bob Haisa kutoka Mwanza pia.Mtayarishaji wa wimbo huu ni King Fenya kutoka Mbunda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.