Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Ilikuwa siku ya furaha kwake mtoto mzuri,mrembo aliye zaliwa ktk familia ya kimasikini,Bwana cris ilikumuonyesha kuwa mtoto wa kike mahali alipo penda hajakose Alikwenda na gari mbiliza kifahari...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Na Mwandishi Wetu Afya ya Miss Tanzania 2006-07, Wema Isaac Sepetu ina tatizo, mwili wake umetoa majibu na daktari amethibitisha. Uchunguzi umebaini kuwa Wema anasumbuliwa na ugonjwa unaoitwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba mwenye huu wimbo aniwekee.Ni wimbo wa Zilipendwa lakini jina lake silijui ila baadhi ya mashairi yake ni kama ifuatavyo; “Kumbuka matesi uliyonipa kulala njaa na watoto mateso yako siwezi...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Anaanza "mimi ndo msanii pekee ninayefanya Hip Hop, wengine sijui wanafanya nini" anaendelea "namsaka mwanangu roma naona kapotea" anaenda mbali zaidi anasema "hivi lile goli kala alipatia?"...
1 Reactions
44 Replies
7K Views
Nafahamu kuwa radios stations zinatakiwa kuwalipa wanamuziki kwa kutumia kazi zao. Kwa hapa Tanzania nasikia haziwalipi kwa kigezo kuwa kucheza nyimbo zao ni kuwa-promote kwa hiyo ni faida kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I have never asked or even debated with any business institution how they determine their prices of their commodities.The One man, One night, One show, is NOT for anybody below affordance...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mambo ndio yameanza kwa performance za nje pamoja na red capet.ndani ya dstv channel 135
0 Reactions
2 Replies
3K Views
1.Usiku kitandani nalimtafuta mpendwa wa nafsi yangu, nalimtafuta nisimpate. 2.Nikasema, haya, niondoke nizunguke mjini, ktk njia zake za viwanjani, nimtafute mpendwa wa nafsi.Nikamtafuta...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Ni siku chache toka kituo cha Televisheni cha Marekani BET kimtangaze Diamond kuwania tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act: Africa ambapo Diamond alifanikiwa kuwa msanii pekee...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Wana JF, naomba yeyote anayeijua kwaya iliyoimba wimbo wa Hati ya Mashtaka anitajie hao waimbaji. Nautafuta huo wimbo sana. Ni wimbo wa siku nyingi. Ahsanteni
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Msanii sheta ametoa video ya wimbo wake wa Kerewa.katika wimbo huo aliomshirikisha Diamond Platinumz na video yake kufanyika Afrika Kusini hakika wameitendea haki. Wimbo mzuri sana na VIDEO...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"Mwenyezi Mungu muweza wa kila jambo ndiye aliyetupa fursa ya kuushuhudia Mwezi wake mtukufu wa Ramadhan, si kwa ujanja wetu Bali ni mapenzi yake tu. Nafungua kinywa changu kukiri na kusifu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwaka 2010 kuna mchezo wa radio ulivuma sana uliitwa WAHAPAHA.Nautafua series zote kama kuna mtu anaweza upata au anajua namna ya kuupakua anijulishe plz.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KWA WIMBO HUU WALIO UTOA, WANASTAHILI KUASAMEHEWA KODI..( THEY HAVE TO BE EXMPTED FROM TAX )..JUST LISTEN DOWNLOAD NA SIKILIZA WIMBO MPYA: KALA JEREMIAH FT NEY WA MITEGO & MO MUSIC -...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wadau hope mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku, kwa yeyote mwenye mixtape yeyote ya DJ JD tafadhali naomba aniwekee hapa. Jamaa ni mkali sana kwenye disco joking. Nakumba kipindi cha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wazee vipindi vya clouds vinanivutia sana mpaka wakati mwinginee nashindwa kuzima redioo lkn je ni mtangazaji gani anakuvutiaa sanq na kipindi chakee?
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Jamani usiku huu nimeangalia move moja, nimefarijika sana. Lkn sikupata jina la move. Lakini ni move lililorekodiwa mbuga za wanyama, ikihusisha game ranger, majangili, watalii na wenyeji. Wote...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hi,habari zenu ndugu zangu, Naomba kwa mwenye ufahamu anisaidie...ninataka kuwa kwenye bendi ya muziki....bendi kama zile za msondo,the spirit ya vitalis maembe..nadhani utakua umepata picha...ila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Funny moments ?? Do you remember if have any?? Please let me know through this discussion i have to do an assignment on FIFA world cup 2014 about people's reviews.
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Back
Top Bottom