Niaje wana hivi ni nyimbo gani nzuri ya zamani kuanzia miaka ya 2000hadi 2009. Ambayo ukiisikiliza unaona utofauti mkubwa ukilinganisha nailivyo sasa. Mi naanza na hizi:
TID -zeze
Profesa Jay ft...
1. Sitaki Demu - Juma Nature
Nature alitoa kibao hiki mara baada ya kugombana na mpenzi wake Sinta
2. Inaniuma Sana - Juma Nature
Chanzo cha wimbo huu ni kama ilivyokuwa hapo juu, Nature...
Miaka ya 1990 mpaka mwanzoni mwa mwaka 2000 tulipata kusikia nyimbo tamu sana kutoka Ughaibuni, nyimbo kama "Hold On" ya mwamba Wilson Phillips, au "It Must Have Been Love" kutoka kwa bendi ya...
Toka Bongo mpaka Uk na kisha narudi Tena/ Nairobi na kampala nawakilisha kwa sana/ maneno bado ni Yes naona kama hakuna no!/ Sasa match ni International/ Sugu ni chama kubwa kama Arsenal/...
Series nilizocheki ni nyingi sana ni za kimarekani, kikorea na kilatini.
Yani hapa kupata series mpya imekuwa shughuli nzito sana
Napenda series za uhalifu, misukosuko ya kutoboa zero to hero,
Jirani Yangu wa kule Goba Hakuwa Mtu wa Kawaida.
Sasa ni miaka miwili imepita, nimehamia na ninaishi kwengine, lakini yale ya kule Goba nayakumbuka vema kana kwamba yametokea jana yake, na huenda...
Kenya, Uganda na Tanzania.
Tumekopi sana na tunaendelea kopi, hatuwi sisi.
It's high time that we have a tune , sound, beat, Melody, lyric of our own.
Kwanini kukopy..
Embu sikieni wimbo...
Tamthilia ya MICHAKATO inaonyeshwa CLOUDS TV kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa Saa 2.00 Usiku na kurudiwa kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa Saa 5.00 Asubuhi.
Tamthilia hii ya MICHAKATO ni...
Tangu enzi za Mbowe Hotel na baadae Billicanas ile Club iliwafanya Wakuja wapate Ustaarabu wa mjini
Na uzuri wa Bills hata bavicha na UVCCM waliunganishwa na Ustaarabu wa mjini na kwahiyo Itikadi...
Sasa Unaweza kufuatilia Msimu wote wa Kwanza wa Tamthilia Pendwa ya "SIRI ZA FAMILIA" katika Channel ya "JASONS TV" YOUTUBE. Kwa Kuanzia angalia hizi Episodes chache:
Habari wakuu, naomba mnisamehe kwa kuwa kimya sana, majukumu ya hapa na pale. Kama kawaida naomba kuleta uzi kuhusu jamii zetu. Leo nimeona ni vyema nikazungumzia tasnia yetu ya filamu hapa...
https://youtu.be/txVBHF_kjhk?si=whyhDUs-5SsR0fj-
Hilo dude lilisukwa buana, sikiliza beat ya Dunga, Sikiliza chorus ya mwanadada Mercy Myra, halafu unganisha na flow nzuri kwenye beat kutoka kwa...
Wapenzi wa hii tamthilia humu ndani mpo? Unafagilia penzi la Ramon na Sofia au Ramon na Fabiola? Mimi kuna muda Fabiola ananiboa balaa na angoje Fransisco ampige na kitu kizito baada ya kumpa hela...
Nikipata nafasi ya kufika Jiji la London kuna vitu lazma nivifanye kwa ukamilifu, mosi nitakwenda kutazama mechi za timu za Tottenham Hotspur pamoja na Arsenal, na baada ya hapo nitafanya...
Nasikitika sana sijui wanakosea wapi, hawapo kama wenzao wa Clouds Radio! Sijui wanafeli wapi?
Au ni bahati mbaya kwangu kila nikiingia kuiangalia nakuta vipindi visivyoeleweka.
Kama usiku wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.