1. Zanzibar ya Harmonize.
Niliposikia tangazo lake la kutoa wimbo wake wenye jina hilo nikajua tunaenda kusikia bonge la wimbo utakaotetemesha si tz tu bali afrika mashariki yote. Matokeo yake...
Habari za Asubuhi movie lovers hope mmeamka Salama..back to the bussines,movie gani za zamani unazopenda au kukumbuka Sana?? Kiasi kwamba ukiiona tena unapatwa Na nostalgia??Mimi nitataje chache...
Kwa wanaopenda kucheza online games Kama Destiny 1 or 2, C.O.D online, sijui rocket league, Fifa Online comp.
Lets unite hapa na psn id zetu. Ninaplan kumake a Tanzania Comunity/ Clan kama...
Kuna mskaji kanipa mizuka, kanikumbusha mbaaaali saaaana. Aisee embu turudi nyuma kidogo...
Crazy gk - sauti ya manka
J nature - mtoto idi
Ay - yule
Fa - unaowa lini, alikufa kwa ngoma, hawajui...
Bila shaka miaka ya mapema ya 2000 kuanzia 2000 mpaka 2006 ilikuwa ni kipindi cha mapinduzi makubwa katika muziki wa Afrika Mashariki. Ilikuwa ni zama za ubunifu wa hali juu, ushirikiano wa...
Naona Tanesco leo karibia nchi nzima wameamua kufanya yao hadi usiku huu. Najua simu zitakuwa zimebaki 8%.
Anyway, huwa kuna nyimbo chache za zamani ambazo zikipigwa hata leo unapata vibe ambayo...
Jabari wanajamii forums
Kuna wimbo wa zamani sana wa bongo fleva unasema maneno haya
SAUTI YAKO INANIWEKA ROJO JUU
MAPENZI YAKO YANANIWEKA ROJO JUU
SIONI MWINGINE KATIKATI YAKO
SIONI MWENGINE...
MIKE TEE
____________
Wengi wanamjua kwa jina la Mnyalu, Mike Tee, The Dangerous Emcee ila jina lake kamili ni Mike Francis Mwakatundu. Mike Tee alianza kuimba mwanzoni wa miaka 1990.
Mike Tee ni...
Krystyna Pyszkova kutoka Jamhuri ya Czech ameshinda taji la Miss World 2024 katika fainali ya mashindano hayo tarehe 9 Machi 2024 jijini Mumbai- India.
Krystyna Pyszkova kutoka Jamhuri ya Czech...
NGWEA - ZAWADI
___________________
JEAH!
MOJA KWA MOJA TOKA CHAMBER
NGWEA NA EAST ZOO YOU DOJO KAYA
FELOO
VERSE 1
__________
UZURU WAKO WA TABIA UMBO NA SURA NDO ULIONIFANYA...
Fortune tellers ( wapiga ramli)
" Fortune tellers kilikuwa ni kikundi cha watoto wawili wakike na wakiume " ambao walikuwa wanashirikiana na kundi la X plastaz kufanya Muziki Enzi hizo kutokea...
AFANDE WA MOROGORO MFALME WA TANZANIA.
Toka mwaka 2002 mpaka sasa 2022 ni miaka 20 imepita toka album ya "mkuki moyoni" toka kwa Afande Sele izame sokoni. Mwaka 2004 hii album kwa uzito wa...
Yash Chopra (marehemu) alikuwa ni moja ya wafanya filamu wakubwa India. Director huyu mzito alifanya filamu nyingi nzuri kupitia kampuni yake, Yash Raj Films, ambayo imekuwa ikitoa filamu kubwa na...
Ukipigwa muziki utaona mtu anaishia kujitikisa kichwa au kujibinuabinua bila mpangilio yani kifupi skills za kucheza mziki ni sifuri kabisa
Ukikuta mwenye mpododo ndo shida tupu.
Basi hata...
Mm napenda a good laugh,hasa nikishamoka,pembeni nipo na juisi yangu pendwa ya miwa na vichapuza,then niweke muvie Kali ya komedi nichekee mpaka basi.
Katika safari yangu ya kucheka nimegundua...
Hadija Kopa amevikwa Cheo Cha Malikia wa mipasho. Lakini kiuhalisia ameshawahi kushindwa katika vita ya mipasho kubaki muziki wa taarab.
Tukitaka kutenda haki basi Malikia wa Mipasho anapaswa kua...
Najua zipo series nyingi sana ambazo waandishi walituliza akili kuziandika kama vile vikings,lord of the rings etc,ila bado sijakutana na mzigo mkali kama Game of thrones, humu mwandishi alijua...
PRODUCER ENRICO KUTOKA STUDIO ZA SOUND CRAFTERS.
_____________________
👉🏿Anaitwa Enrico figueiredo almaarufu enrico wa sound crafter's huyu ni mtayarishaji Muziki ( producer) mkongwe wa zamani...
SOGGY DOGGY ANTER.
Jamvi la Ukwaju wa Kitambo lilibahatika kupiga stori na Msanii mkongwe katika Game ya Bongo fleva soggy doggy.
Tulibahatika kuzungumza mengi ila kwa faida ya wafuatiliaji wa...
HABARI ZA WAKATI HUU WAFUATILIAJI WA JAMVI HILI LA UKWAJU WA KITAMBO.
...................................
✍🏻kama ilivyo destru yetu wadau na wafuatiliaji wa jamvi la Ukwaju wa Kitambo, huwa tuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.