1. Brothers
2. Lone Survivor
3. The Outpost
4. Zero Dark Thirty
5. Hyena Road
6. Combat Obscura
7. The Covenant
8. Armadillo
9. Red Sands
10. Lions For Lambs
11. The Old Guard
12. Charlie Wilson's...
Series tamu sana, mapenzi, hustles, mahusiano.
Marafiki wanne wa chuo kikuu, ambao uhusiano wao mkubwa umewaweka pamoja japo safari zao za maisha zimewapeleka katika njia tofauti sana.
Follows...
Ningependa kujua ilipo bendi moja ya mchiriku ambayo ili-modernize muziki wa mchiriku (kwa kuweka vinanda na magitaa) mwanzoni mwa miaka ya 1990 ambayo iliitwa Hisani Musical Club ambyo ilitoa...
Miongoni mwa vipaji ambavyo Tanzania imetunukiwa, ni pamoja na orodha kubwa ya waandishi wa hadithi za Kiswahili. Waandishi wengi wamechomoza kwa uhodari na umahiri wao kila mmoja katika kona...
Ningependa kupata taarifa za makundi ya bongo fleva.... Yaliundwa na wasanii gani, yalianzishwa mwaka gani, na walitoa ngoma gani na pia kupata picha zao
1: Living with Purpose (LWP)
2: Big Dog...
Nimeanza kusikiliza Gengetone. Naburudika, nacheka na kushangaa. Msaada wa gengetone kali kali. Natanguliza shukrani.
https://youtu.be/kfzc-JOotH0?si=UrWSjEj8YvAph9lE
Hawa wajinga wa Monty Python sijui walikuwa wanawaza nini. Watu wengi wamejikuta wamepata matatizo ya kiafya kwa kucheka sana baada ya kuangalia movie hii...
Wanangu wa Hip hop naweka mtanange hapa, kati ya hizi collabo mbili zilizo umiza kipindi hicho. ipi ni collabo kali ?
Ukisikia paah ya JCB original + Remix
VS
Mchizi wangu ya Nako2Nako...
Ilikuwa kwenye mida ya saa mbili usiku wakati tumekaaa kwaajili ya chakula cha usiku.
Wakati nakula simu yangu ikaita kuangalia mpigaji ni mpenzi wangu Sam ila nikashindwa kunyanyuka kwenda...
Niende moja kwa moja kwenye point.
Kwasasa hapa Tanzania nyimbo mbili toka wasanii wa Mbeya ndio zinazotakiwa kupewa Tuzo.
Pia Midundi hii inastahili kuwa muziki unaoitambilisha Tanzania.
1...
Mimi naitwa Emmanuel Vicent Natokea Mwanza mimi ni video director natafuta watu ambao wapo vizuri kwenye kuandaa story hasa za kutengenezea filamu.
Kama story kali tunaweza fanya biashara ila...
Harmonize kumpiga beat shabiki ni kitendo cha kuonesha kutokuheshimu mashabiki waliouzulia show yako.
Shabiki katenda wajibu wake wa kuja kwenye show yako, alafu kisa tu kazengua mahala fulani...
SIZONJE ndio jina la wimbo wake mpya Mrisho Mpoto alieyeshirikiana na Banana Zoro. Nimeusikiliza kwa makini lakini bado sijajua maana halisi ya huu wimbo.
Huwa napenda sana nyimbo zake Mpoto...
Hawa jamaa walikua TBC FM sasa wanajiita Bongo FM.
Kuanzia leo ila niwashauri wabadilike katika content zao wajikite kuburdani zaidi waachane na vipindi vinavyofanywa na TBC Taifa kama ukulima...
Waungwana, kuna nyimbo ya zamani kidogo yenye baadhi ya lyrics hizi
"Niwe nawe, Niwe nawee, penzi lako la thamani, lenye wingi wa nahau"
Anayeufahamu au details za jina la msanii na jina la...
RIWAYA; OPERESHENI KUKU (KUFA KUPONA)
NA; BAHATI MWAMBA
SIMU; 0758573660
VITABU VILIVYOTANGULIA
• KIKOSI CHA PILI
• MPANGO WA CONGO
• URITHI WA GAIDI
• SAUTI YA MTUTU
• DAKIKA ZA MWISHO...
Salam, Hii chanel ipo kwenye other channel Azam no 1023. Hawa jamaa sio Siri wanapiga miziki mchanganyiko sana.
Dstv Hip Tv wanajitahidi ila miziki mingi wanapiga ya kinajeria.
Hongereni sana...
Nipo hapa nasikiliza nyimbo ya mkali kutoka USA Lil Wayne inaitwa Mirror
Hii nyimbo kaelezea kwa kutumia neno mirror akimaanisha kioo kuwa katika haya Maisha tunaishi huwa Kuna nyakati tunapitia...
Kama shabiki mkubwa wa muziki nimeona leo niandike kitu tujikumbushe watu walionogesha sana muziki wa Congo... Marapa... hawa jamaa walikuwa wanafanya sebene zinoge. Ninaandika huku nikiusikitikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.