Kwa wadau wa movie
Filamu mpya ya Anton Fuqua THE OLYMPUS HAS FALLEN inaangukia kwa star Gerald Butler anayecheza kama mwana usalama aliyepoteza ajira yake kutokana na kifo cha first lady...
Naomba kama kuna link au site yenye miziki ya zamani kutoka DRC zamani Zaire kama ya Ochestra Veve,Super Mazembe nk niweze kudownload mniwekee kwa yeyote nayefahamu tafadhali.
EA radio wameweka wazi majina ma4 ya wasanii kutoka bongo land watakao perform ktk stage moja na wakali toka Nigeria(p-square) wakali hao ni
Prof.J,Lady jd,Ben Pol&Joh Makini! what z ur opinions...
Habari zenu wakuu! Naomba kujuzwa wapi naweza kujirusha Leo? Sikuwa dar kwa muda kidogo,Nimerud na nina hamu ya kwenda music waungwana! Music wa bend km twanga pepeta,Extra bongo,FM academia na km...
Tazama video mpya kutoka kwa mwanadada Shaa katika wimbo uitwao Sugua Gaga chini ya usimamizi wa kampuni ya Mkubwa na Wanae ya Said Fela.
http://youtu.be/dAXYlpnTuOE
Jamani kuna ngoma inachezwa mkoa wa MBEYA inaiywa LING'OMA kweli toka nimeanza kuangalia ngoma za kiasili sijaona ngoma inayo chezwa vizuri kama ngoma ile,yani huwezi kuchoka kuiangalia is the best
Hawa wanamuziki kutoka nchini Congo huwa wanajituma sana jukwaani,nikiangali nyimbo hii kwenye dakika ya 8:58 namuona repa baada ya kumaliza kurep anamkimbilia mkaanga chipsi(mpiga drum)ili...
You Made my day. Nimecheka sana leo wakati wakionyesha jamaa alivyoenda kwa mganga akitaka kuongezewa kipato halafu mganga anampa ma banzi kila akipigwa anasema niongezee kipato mganga kila...
Wasanii hupenda kushirikishana ktk nymbo zao na kufanya kitu kizuri kwa fans wao zipo kolabo nzuri zilizofanyika kwenye industry kwangu mm the best ni ya solothang alowashirikisha afande sele na...
Habari zenyu bhana?
Nitapenda kujadili maana ya "NO WOMAN NO CRY" ambayo ni title iliyobeba maudhui katika wimbo huu wa Bom Marley.
Wengine hutoa maana ya kua (nanukuu) "Hakuna/pasipo na...
Kuna baadhi ya wasanii ambao walikuwa wanafanya vizuri sana katika tasnia ya maigizo na muziki pia,hivi tujiulize kama hadi leo hii wangekuwa hai wangeweza kuendana na hali ilivyo sasa katika soko...
Wakuu kuna mzigo huu (Azsky G1 upgrading version dstv dongle Azsky G1+) nimebaki na mmoja tu, maelezo mafupi ni kwamba
Newest azsky G1+ dstv dongle in stock
1) sim card gprs dongle
2) open...
Waonee huruma wenzio.
Travailler c'est trop dur
Et voler c'est pas beau
D'mander la charité
C'est quelque chose que je ne veux plus faire
Chaque jour que moi je vis
On ne demande de quoi je vis...
Naangalia hapa EATV...filamu ya kibongo ya kitambo ya JOHARI....Maaan I'm watching The Late Kanumba,Ray,Johari na Mainda with their humble beggining.......Ni drama za kuvunjika mbavu.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.