Leo nimeangalia TPF saa 2 mpaka saa 3 EATV kilipomalizika nikahamia TBC1 kutazama EBSS hakika nilichogundua ni kuwa TPF iko juu kuanzia contestants, bend, faculty mpaka judges kuliko EBSS ambako...
Aje wadau wa jukwaa.
Kuna nyimbo fulani zina mahadhi ya Kiafrika nilikuwa nazisikia kwenye filamu za zamani za Naijeria (Aki na Ukwa, Hour of Grace n.k.). Kwa anayefahamu zile nyimbo (tanzu)...
Nasikia hii patashika ilishawahi kwenda hadi Bungeni hapa Bongo.
Malaika, Nakupenda Malaika... Ningekuoa Malaika...
Here's the whole song "Malaika" with translation
Authorship of...
'Twas the night before Christmas
And all through the house
Not a creature was stirring
Not even a mouse
In my mind, I want you to be free
For all of our friends, to listen to me
Now hear...
Salaam wakuu,
nafungua thread hii ni maalum kwaajili ya kupromote wasanii wachanga wanaochipukia katika mziki wetu wa kizazi kipya. Sote tunajua jinsi ilivyo ngumu kwa wasanii wadogo ambao ndio...
Huyu dogo namkubali kwa kweli, licha ya udogo wa umri ila kimziki yuko vizuri sana na style ya uimbaji wake wa mahadhi ya zouk imetulia sana. Sijui ni kukosa promo, management au nini...
Wakuu katika kupitia mtandao nimektana na radio hii inaniwekea miziki mizuri sana inanikumbusha enzi zetu. kwa wale vijana wa zamani kama mimi link hii hapa:
Radio Asante! - Jackson 5 - I Want...
ubunifu ni kitu pekee kinachoweza kuitofautisha brand moja hadi nyingine/kampuni nyingine ambazo/yo inatoa huduma zinazolingana/fanana.
Nirudi kwenye topic,sina shaka na uwezo wa clouds media...
Hii kitu coke studio iko poa sana, jamaa wamejipanga na wanaweka vionjo vya aina yake lazima mtu uipende tu. Hivi inafanyikiwa nchi gani wakuu? Bongo inawakilishwa na Diamond, Lady Jaydee...
Salaam,
Zamani sana nilikua mpenzi wa nyimbo za mwambao wa pwani (taarab) na kikubwa nilivutika na tungo za wasanii mahiri wa mziki huo zamani kama kina marehemu mzee Issa matona, Siti bint Saad...
Mkenya, Lupita Nyongo atwaa tuzo ya Hollywood
Vipi kwa wasanii wetu wakibongo ? hasa wa kike au wao kazi ni kukaa na kupiga picha za uchi na kuzisambaza mitandaoni?
na kugawa uroda bila...
Dear wapendwa I hope mu wazima: Nina dukuduku
I know kuwa as watanzania tunatakiwa kuonyesha uzalendo kwa kusupport kazi za watanzania wenzetu. Leo MwanajamiiOne nazungumzia swala zima la...
ile series bora zaidi kuwahi kutokea ya 24 itarudi tena mwakani ambapo jack bauer ataigiza series nyingine itakayoitwa live another day, dah naisubiri kwa hamu sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.