Utajiri, safari zake nje ya nchi vyatiliwa shaka
*Ahusishwa na mtandao hatari wa Masogange
KWA mara ya kwanza tangu lilipoibuka sakata la watu maarufu kujihusisha ama na utumiaji au usafirishaji...
Clouds media tayari wamezindua msimu wa Burudani za Fiesta kule Mkoani Kigoma, itafuatiwa na matamasha kadhaa katika mikoa zaidi ya kumi (10) .
Wapenda Burudani katika mikoa hiyo wanajiandaa...
Hatimae #KILIMUSICTOUR2013 na #SERENGETIFIESTA 2013 Matamasha makubwa ya Music Tanzania yanafunguliwa rasmi leo katika mikoa miwili tofauti lakini maarufu kwa uvuaji wa samaki ya MWANZA na...
Jamani hii aibu itatuondoke lini. Nuimekuwa nikiangalia movie za kibongo ile channel ya movie za kiswahili kupitia DSTV, Jamani ni aibu yaani unaogopa kabisa subtitles ya kuaibisha kabisa na...
Kuna kila dalili mshiriki wa BBA 2013 kutoka Ghana Elikem "kupewa"ushindi wa mwaka huu na waandaaji wa Mashindano hayo hii ni kutokana na baadhi ya matukio yanayoendelea kutokea mjengoni humo 1...
Salamu sana wakuu wote,
Muda huu nimeshtuka kutoka usingizini baada ya kuota ndoto hii:
"Nilikuwa nikisikiliza idhaa ya kiswahili ya bbc katika kipindi chao cha asubuhi cha amka na bbc
mtangazaji...
Mwimbaji na mtunzi hodari wa zamani wa bendi ya Zaiko Langa Langa ya Congo Likinga Mangenza 'Redo' amefariki dunia nchini Ufaransa akiwa na umri wa miaka 59. Likinga alitamba na Zaiko Langa Langa...
Ndugu, Katika pitapita zangu za youtube nimekutana na kazi ya Mtanzania mmoja kwenye mambo ya filamu fupi yaani SHORT-FILM kwa kizungu, nikaona ni vyema niweke hapa ili na nyinyi mpate fursa ya...
Anadai show itakuwa kubwa sababu waandaaji yeye anatoka USA na juma pinto anatoka Uk
Source clouds fm
Anaongea sasa hivi
my take
Jamaa kuna mambo anaongea kama ajielewi
"Vox popoli vox dei"
Habari wana jamvi la burudani kuna jambo bado silielewi maana kuna wasanii wengi wanaimba nyimbo nzuri lakini hazipigwi lakini kuna huyu jamaa nahisi hata mswaki hana kila siku mitusi tu but...
Much awaited Chennai Express turned out to be a old formula masala with nothing new to offer . Sharuk Khan's highly expected film has disappointed large section of audience though it has broken...
Wadau hili kundi la bongo dar es salaam lilokuwa linaoneshwa tbc1 walikuwa wanatoa burudani nzuri na kuelimisha jamii mambo ya utapeli wewe habari naomba alifahamishe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.