Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
au hisbert ni seriouus mazee sina utaniiii.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bimkubwa Sintah, anajitapa sana kwenye blogu yake kuhusu kile anacho ita " ELIMU YAKE KUBWA". But taarifa za kiintelijensia kutoka kwa Mange Kimambi, zinasema kuwa Sintah...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Sintah leo kaja na haya : jisomee mwenyewe "Ukifungua gazeti la babu kubwa toleo jipya ,kurasa ya katikati shurti utakutana na kichwa cha habari MASTAA Ambao shule imelala kichwani, seriously...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Kulingana na shirika linaloitwa BSS Corporate Psychology Services kutoka Australia, kulala usingizi masaa manane kila siku ni muhimu mno kwa afya ya mwanadamu. Utafiti wa muda mrefu unaonyesha...
0 Reactions
0 Replies
937 Views
AMINI usiamini, kuna taarifa kwamba gwiji la sanaa za vichekesho nchini, Amri Athumani ‘King Majuto’ almaarufu mzee Majuto amefunga ndoa ya siri ndani ya Mfungo wa Mwezi wa Ramadhani, Risasi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nimeiona video ya Natamani ya Fa ft mandojo na domokaya ndani ya Chanel O "Vox populi,Vox dei"
0 Reactions
2 Replies
2K Views
To me ''LOST'' serves as the best tv series of all the time ningependa kujua wale wapenzi wa series mna maoni gani and whats u're favourite? LOST:The survivors of a plane crash are forced to...
6 Reactions
204 Replies
22K Views
Wachina wakija tunaangaika kuongea Kiingereza kwa kigugumizi, tunadai Kiswahili hakikubaliki na wala hakiuziki. Tuendelee kuamini hivyo hivyo wakati Wakenya wakizidi kulamba mikataba minono nje ya...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
NJIA YENYEWE HII HAPA CHINI: RADO - NJIA - YouTube
0 Reactions
0 Replies
3K Views
music is such a field which has became a powerful element, needed for everyone. there is a great saying about music'No Music No Life'.
0 Reactions
0 Replies
825 Views
MALKIA wa Mipasho Afrika Mashariki, Khadija Kopa amesema baada ya kufiwa na mumewe kipenzi, Jafari Ally, amegundua kuwa anapendwa na watu wengi tofauti na alivyokuwa akifikiria. Akistorisha na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MSANII wa Kundi la Green Masage, linalorusha michezo yake kupitia Televisheni ya TBC, Daniel Mmasi ‘Face Brown’ amefunguka kuwa redio ya marehemu Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ aliyoinunua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
OKAY! Hapa ndipo alipo COPY bwana mdogo BEN PAUL - JIKUBALI
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ulisha wahi kutamani kupata wimbo fulani na hujui nani kaimba au huwezi labda kwa sababu ya lugha? Kwa wale wa nyimbo za ki Congo au za kenya...kwa kiswahili pia tutasaidiana. Weka Mashairi...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
HATIMAYE ALIYEKUWA MSHIRIKI WA BBA TOKA TANZANIA NANDO APOKELEWA NA MAMA YAKE CALIFONIA,ANGALIA PICHA... Army Nando awasili Los Angeles, California Mpiganaji Davis Mosha, Edgar D. Mosha...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Komandoo, Anaconda, Lady Jadee Ebu kionee huruma kizazi cha vijana wanaoangamia kwa biashara ya hao jamaa unaowajua kwa majina na tena una ushahidi wao, Tuonee huruma wazazi tunaoharibikiwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku za hivi karibuni mwigizaji anayefanya vizuri kwasasa katika filamu nchini Niva Zubery amekuwa akiweka status zikimhusu mwigizaji mwenzake Wema Sepetu na baadhi ya mashabiki wa mastaa hao na...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Yule mwakilishi wa Tz Nando ametolewa kwa kosa la kutaka kumchoma kisu mshiriki toka Ghana! hii ilitokea juzi baada yakutofautiana! Dogo alisema mtu kama huyu hasitahili kuishi! na kuamua kuenda...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
"SASA NIMEOKOKA.....UJINGA SITAKI TENA"...LULU MICHAEL MUIGIZAJI machachari wa filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema baada ya kupata misukosuko ya kimaisha, sasa maisha yake...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Bondia Evander kupigana Tanzania Oprah Winfrey kuitembelea Tanzania R Kelly kuja Tanzania By Millard Ayo | Wed, 17 Jul 2013 Mwimbaji staa wa dunia Robert Kelly au R. Kelly amethibitisha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom