Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
kuna wimbo wa msanii wa bongo flava aitwaye nemo. unaitwa baby sema. nimeutafuta sana mitandaoni siupati.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waungwa wa JF, Naipenda sana kazi hii ya Alpha Blondy. Nimeona baadhi ya nyimbo youtube sasa nahitaji album nzima. Nitapata studio gani kwa Dar? No matter who win, Liberia is crying No matter who...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Natazama East Africa Television. Mbunge wa Bukene Tabora Mh:Suleiman Jumanne katika maelezo ametamka neno Mrabaha, badala ya Mrahaba. Kosa kama hilo lili fanywa na Mh: Naibu wa Nishati na madini...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Denzel Washington: Is His Marriage On The Rocks? Wed, July 10, 2013 1:03pm EDT by...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Wastara Juma amefunguka kuwa wanaume wengi waliokuwa wakimsaidia wakati mumewe Juma Kilowoko ‘Sajuki' akiwa mgonjwawanamgeuka na sasa wanamtaka kimapenzi. Akizungumza kupitia Kipindi cha...
0 Reactions
5 Replies
12K Views
Filamu aliyoigiza marehemu Sajuki na mke wake Wastara ‘Kivuli’leo imeingia sokoni rasmi. Filamu hiyo iliyotayarishwa na Wajay Film Co na kusambazwa na kampuni ya Steps imewahusisha pia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamvi, nakuja kwenu kujaribu kupata mawazo yenu. Kuna track mpya ya amini na barnaba inaitwa why mimi nimejaribu kuisikiliza na wenzangu ila imezuka mabishano kwamba nani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wake wapenzi wa hip hop za kimarekani naomba mchango wenu, taja majina ya greatest mc's wale wanaopiga ngoma ngumu, za hardcore nalianzisha, nas, Christopher Wallace aka notorious b.i.g.,Dmx...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuelekea weekend kwa wale wa zamani! Phil Collins - Hits FULL ALBUM - YouTube
1 Reactions
8 Replies
2K Views
HIVI karibuni mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ amenaswa akifuturu na hawara yake, Penniel Mungilwa ‘Penny’, kitendo ambacho kimewashangaza wengi na baadhi kufikia hatua ya kumponda kuwa...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
kwa wafuatiliaje wa muziki wa hiphop kuna album mpya tatu zilizo toka june na july, hapa kuna Born Sinner ya J.cole, Yeezus ya Kanye na MCHG ya Hov. Kama umesikiliza album zote naomba uniambie...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mnakera sana haswa ktk uchambuzi wenu wa magazeti asubuhi manake huwa hamna mpangilio mzuri, gazeti moja tu kipindi kizima?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Naongelea mwenye sauti nzuri, mtiriko mzuri na mwenye tungo kali ndiye awe mfalme. Tusiangalie umaarufu wa magazeti ya udaku
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Habar wandugu?, jaman mwenye album ya jay dee (nothing but the truth) naomba anisaidie, kwa sasa sina uwezo wa kununua iyo album ila naihitaj sana, naomben msaada wenu jamaa, asanten.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
WE GLADLY WELCOME!! YOU TO MURTEN STORE LIMITED® MURTEN STORE LIMITED® NOW OFFER A ANNUAL SALE!!! We are dealers of all kinds of Mobile Phones Such as Apple Iphone, Blackberry, Nokia, Samsung...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mi sina mengi ya kuongea, jionee mwenyewe: nako2nako-hawatuwezi - YouTube Una neno lolote la kuwaam bia CCM kuhusu uchaguzi wa madiwani Arusha? Mimi langu ni WALIJARIBU WALE
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wengi wetu tunaelewa historia ya muziki Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na nafasi ya nchi hiyo katika muziki barani Afrika. Hata hivyo, katika miaka ya karibuni muziki wa Congo umebadilika kiasi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi na wewe unaye soma uzi huu tunajua kwamba The Heavy Weight MC , Kaka Mkubwa Profesa Jay, hayupo katika good terms na BLAUZ FM. # Team JotoHasira. Basi leo kwenye...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wana jamvi haya hapa ni mashairi wa wimbo mpya wa Jay z uitwao heaven, wimbo huu umekuwa na maoni tofauti mitandaoni , wengine wakisema ni Muabudu shetani na wengine wakisema sio kweli, Je wewe...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom