Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Watch out for this (Wacha filigisi) - BUMAYE!!!!! Weekend njema Wandugu wote wa JF. BAK , upo hapa na kizazi kipya?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Je unataka kutengeneza hit kwenye bongo fleva, hiphop na n.k? Usipate shaka wasiliana na MTAALAM thru 0753 206165. U WCM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za kusikitisha zilizo nifikia hivi punde, zinasema Msanii Linah kutoka THT naye ameanza kutumia cocaine. Haijajulikana ni sababu gani haswa ambayo imemfanya mdada huyu...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Naomba kujuzwa kuhusu hii bendi kwan nimeona tangazo lao kuwa kila ijumaa watakuwa pale landmark hotel.Nilipata taarifa kuwa mwezi wa ramadhani huwa hawafanyi show,Sasa swali ni kweli hawafanyi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Vilio na simanzi vilitanda Jumatano iliyopita Mwananyamala Kisiwani, jijini Dar kufuatia mtoto wa mwaka mmoja, Rahim Rajab kufariki dunia kwa kuangukiwa na watu watatu, akiwemo baba yake mzazi...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Bridge : A. Town , hi indo a. town , a town, hi indo a. town. Chorus : Mungu Nipe A. Town, Mungu nipe acity, Mungu nipe Arachuga, bongofleva wakituona wana zuga...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ilikuwa ni albamu babu kubwa, ndani ya albamu hiyo kulikuwa na nyimbo, Sofia ( eeh sory to sofia, i lov you mwanamaaa ), morenita , Aba Guimo, Robin Pretty, Mama Rhoda...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wakuu shwari? Naomba mtu mwenye novel ya Sydney Sheldon iitwayo Mistress of the Game aniazime. Nilikiona pale Scholastic mlimani city sikuwa na mshiko siku nilipopata nikaenda ninunue nikakuta...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilikuwa naangalia interview ya sista duu lulu, daah! kazi ipo, manake hizo posi zimepitiliza, halafu sijui majibu mengine ni ya kukariri, basi michosho tupu! nimeshindwa hata kumalizia...loh...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwandishi mashuhuri wa vitabu nchini Marekani, Robert Green anasema " Wale wanao mchukulia msanii 50 Cents kama Gangster pekee, wanatakiwa kuanza kubadilisha mitazamo yao haraka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Miguu kama ya Manka halafu hiyo michirizi ya mapajani!!!!
0 Reactions
37 Replies
7K Views
"JACK WOLPER ANATAFUTA UMAARUFU KUPITIA JINA LANGU....KAMA SANAA IMEMSHINDA BASI AKAJIUZE AU AKAUZE VIPODOZI"...BABY MADAHA MWIGIZAJI wa kike na mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Baby...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
UWOYA AAMBULIA MATUSI BAADA YA KUMFANANISHA DIAMOND NA MICHAEL JACKSON Mwigizaji wa filamu za Kibongo, Irene Pancras Uwoya, amelowa mvua ya matusi baada ya kumfananisha mwanamuziki Nasibu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mwigizaji Mmarekani mweye asili ya Afrika Jim Kelly alifariki dunia Juni 29, 2013 akiwa na umri wa miaka 67. Jim Kelly alitamba miaka ya 1970 na 1980 baada ya kuibuka katika sinema ya 'Enter The...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Beyonce na baba yake Mr Mathew Knowles Mathew Knowles is a married man!Beyonce's father married former model Gena Charmaine Avery on Sunday, June 30 in Houston, Tex., he confirms to Us Weekly...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
High Quality Free Download of Movies, Music, Tv Serries and so much more at NEGE Link
0 Reactions
0 Replies
898 Views
Sio maneno yangu hayo ni ya watangazaji wa radio uhuru wakati wanauchambua huo wimbo wa dokii wamesema kuna mistari kwenye uho wimbo amechemka na pia ameshauri wasanii kabla hawajaingiza vocal ni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau , Katika pitapita zangu za brochure za Movies, nikakumbana na hii Movie. Imechezwa na Jamie Foxxy na mwenzie jina limenitoka mpaka ni-google. Sasa nimejaribu kui -download but...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Fatima kutoka Malawi na Hakeem kutoka Zimbabwe ndo waliotolewa wiki hii kwenye jumba la big brother wakati Mtanzania mwenzetu akinusurika tena.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii movie toka nchini malawi imezoa tuzo tano za kimataifa mwakani huu. Nimejaribu kuitafuta katika torrent na youtube nimeambulia trailer tu. Nikienda dukani inaonekana msamiati kwa wauzaji. Kama...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom