Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

MUZIKI wa Hip hop au Kemo kama unavyoitwa kitaalamu ni mama wa aina nyingi za muziki tunaousikia, umekuwa na mzuka wa aina yake kwa mashabiki hasa pale MC anapokuwa jukwaani akimwaga ladha ya...
1 Reactions
1 Replies
407 Views
Mwanamziki wa Muziki wa Bongo Fleva na Hip Hop Balozi Dola maarufu kwa jina la Dola Soul ambaye kwa sasa anaishi nchini Marekani amesema muziki wa Hip Hop katika nchi hiyo umepoteza uhalisia wake...
1 Reactions
8 Replies
740 Views
Wimbo ni mzuri lakini wananchi hawaja upokea vizuri kama walivyo zipokea nyimbo zilizo pita za Joh na weusi kwa ujumla. Wimbo umeshindwa ku hit wimbo umeshindwa ku trend. Joh anatumia nguvu ya...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Producers wengi Tanzania tumekuwa tukitumiwa na baadhi ya wasanii kama daraja la mafanikio yao na kisha kutupaka matope au kuuambia umma kuwa sisi ndio tumewakosea sana na tunawanyonya. Laiti kama...
0 Reactions
1 Replies
455 Views
Leo nilikuwa napenda tulizungumzie hili wadau ujio wa wasanii kutoka mataifa ya nje kuja hapa Bongo kufanya show je? Kuna impact ama faida yoyote imepatikana kwa Taifa letu nje? Ya ongezeko la...
0 Reactions
1 Replies
328 Views
Yaani nyimbo inaitwa back to my roots Humu kuna mpiga ngoma alijipanga sana yaani ana dunda unasikilizia moyoni Yaani zile ngoma na gitaa balaa, Hebuu vaa earphone afu sikiliza twatwaaaa twaa...
10 Reactions
64 Replies
2K Views
Zangu ni 1: Dumb and Dumber 1 and 2 2: Anchorman 1 and 2 3: Ace Ventura 1 and 2 4: Superbad 5: Stepbrothers 6: Scary Movie 3 na 4 7: Naked Gun zote 8: Tropical Thunder 9:Blended...
1 Reactions
9 Replies
520 Views
Naomba wenye kuelewa ni chaneli ipi na mda gani kupitia king'amuzi cha Azamtv wanaonyesha tamthilia ya brothers( Cardo Dalisay) kwa tafsiri ya kiswahili?
2 Reactions
9 Replies
839 Views
Mataita, kwa wale wote ambao tayari wameupa sikio mkwaju huu wa "Renegade" kati ya mzee mzima Jigga akimshirikisha Slim Shady ni mchizi gani alipiga verses kali humu. Mpaka sasa mzani wangu bado...
5 Reactions
55 Replies
3K Views
Kuna movies ukiangalia inaacha mark katika maisha yako. Inakuwa sio tena entertainment, inakuwa fundisho, motivation, inspiration na luckily inabadilisha mtazamo wako juu ya maisha na jinsi gani...
6 Reactions
59 Replies
3K Views
Kuna movies ambazo ni classic kwako. Yani hata kama moja wapo ikiwekwa sasa hivi yani wewe unaiona kama mpya machoni mwako. Hata kama ni ya miaka 50 iliyopita ila bado kwako ni timeless. Zangu...
11 Reactions
219 Replies
11K Views
Binafsi, napenda sana muziki - kusikiliza, kuimba nk. Tuzungumzie mziki wa Rwanda leo. Rwanda ni nchi ndogo sana lakini imejaliwa wasanii wazuri sana, wenye sauti (Meddy,Okkama, Marina, Afrique...
2 Reactions
1 Replies
562 Views
Denzel Washington yuko regarded as one of the greatest actors ulimwenguni. Namshukuru Mungu niko hai ku-witness ubora wake. Kazi zote nazikubali ila top 5 yangu ni: 1: The Manchurian Candidate...
5 Reactions
12 Replies
624 Views
1: Seven Bradd Pitt and Freeman kama polisi wanajaribu kusolve mauaji yanayoendelea na kutekelezwa na muuaji ambayo yuko inspired na dhambi saba za mauti. 2: American Psycho Jamaa anaonekana...
2 Reactions
7 Replies
695 Views
Kwa wapenzi na wafuatiliaji wa kipindi cha Ultimate Survival na Marooned with ed stafford Discovery family (channel namba 136 DSTV),Kwa mtazamo wako yupi ni Survivalist mkali zaidi. Wote wana...
2 Reactions
2 Replies
214 Views
1. Seal Team Six: The Raid on The Terminal List (2022) 2. Act of Valor (2012) 3. Redemption Day (2021) 4. Tom Clancy's Without Remorse (2021) 5. American Sniper (2014) 6. Lone Survivor (2013) 7...
4 Reactions
0 Replies
527 Views
kuna nyuzi nyingi za hii battle, binafsi sikuona mshindi kwa maana niliwaona wako 50/50. nikajipa muda kusikiliza ngoma zote kali za hawa viumbe, nikaja kubaini Fali ni mkali. goli la ushindi la...
3 Reactions
7 Replies
427 Views
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa muziki huu wa kizazi kipya tangu kipindi kile cha miaka ya 98 ulipoanza kukubalika katika jamii yetu ya kibongo na kukonga nyoyo za watu wa rika lolote bila kujali...
2 Reactions
21 Replies
10K Views
Kwa upande Wangu this list is my favourite Kwa nyimbo zilizotoka recently Judikay - Man of Galilee Israel Mbonyi - Malengo. Israel Mbonyi - sikiliza. Israel Mbonyi - amenisamehe. AIC chang'ombe...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi nakumbuka 1. Twende na Wakati - Radio Tanzania 2. Pilika pilika - TBC Taifa 3. Wahapa hapa - Radio free Africa Karibu tukumbushane
0 Reactions
4 Replies
346 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…