hello great people jf.
Naombeni mwenye link ya kudownload free movies nzuri au series anipatie tafadhali.maana twaelekea msimu wa sikukuu na kwa sie mabachela hatuna vya kutukeep busy.
thanks in...
My wife has just left to abroad for studies and it is almost a month now living as a bachelor. I dont know if this has to do with the freedom I have gained over the course of her absence, I have...
Msanii Maarufu inchini Tanzania anayejulikana kwa jina la Baba Zoro pamoja na wafuasi wake Watakuwa Mgodi wa Barrick Tulawaka ,kutumbuiza kwenye Mkesha wa Sherehe za Kumaliza Mwaka, leo tarehe...
Ebu Angalia Izzo Bizness na Producer wake walivyoteleza juu ya ganda la ndizi.
Jay z - 1-900 Hustler
Jay-z, Memphis Bleek, and Freeway - 1-900 Hustler - YouTube
Izzo BidNe$$-Utarudishwa Mbeya...
OK guys huu wimbo nakumbuka tu lyrics zake nataka kudownload
sio stori za machiz wakikaa
bling kwamba siku hizi nakosa furaha
am sorry kama nilijikwaa
mana hata tenda tz anajua we mshumaa maa...
HABARI WA UNGWANA...
Tafadhali naomba mwenye wimbo wa marehemu Nasma Khamis Kodogo uitwao "PENZI SI MZIZI" anisaidie au hata albamu nzima ya "MAMBO YAKO HUKU", nitashukuru kw ushirfikiano...
Habari wanazuoni!!!
Ninaomba mwenye kuijua link ya kuudownload wimbo wa Maalim Gurumo__'TUNATOANA ROHO YARABIII, KWA MALI ALIZOACHA BABA'.
Ninawatakieni Majukumu mema
VITUKO VYA MASTAA Hii inaweza kuwa ni kama vile utani au propaganda eeh!!!Unajua katika maisha ya binadamu kila mtu kuna vitu fulani anavipitia katika maisha yake.Katika vitu hivyo vipo vile...
Serikali ya jamuhuri ya muungano wa tanzania,kupitia mamlaka ya mapato tanzania(TRA),kwa kushirikiana na BASATA,Bodi ya Filamu Tanzania(TFCB),chama cha hakimiliki na hakishiriki Tanzania...
Habari za jioni wana jamvi,naami ijumaa ya Leo ipo shwari.Leo nimeona tujikumbushe kidogo wacheza disco waliwahi kutamba sana enzi hizo kabla ya kuja hiki kizazi cha bongofleva na Si vibaya...
daaa jana bhana nilikuwa natizama kipindi cha TAGZ WEEKLY cha dtv sasa kulikuwa kuna tuhuma za yule mshikaji aliyekopi aidia ya ile ngoma ya platinum ya mbagala eti yakwamba jamaa anamfanyia k2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.