Wasanii mbalimbali wa muziki wa kufoka maarufu kama Hip Hop leo walikutana katika kikao cha wasanii wanaofanya sanaa na muziki wa aina hiyo, kilichoandaliwa na Asar Entertaiment na Alliance...
Wadau habari za wikiend,
Kuna wakati kulikuwa na uzi nyingi zilizokuwa na maswali mengi juu ya kupotea kwa mkali John Dillinga JD, DJ mkali africa mashariki.
Wapo wengi waliokosa entertainment...
Jazz composer, pianist Dave Brubeck diesBy By PAT EATON-ROBB | Associated Press 12 minutes ago
View Gallery
Dave Brubeck sits next to a piano in Monterey, California, in this file image...
Nikiwa mdau wa habari, nasikitika kusema kwamba pamoja na sifa zote alizojizolea, Bw. Tido Mhando alikosea sana kubadili jina kutoka RTD ililozoeleka sana kwenda TBC Taifa. Matokeo yake sasa, hiyo...
Mimi ni mpenzi wa mchezo wa Chess, ningependa kufahamu ni sehemu gani hapa Dar, ambapo nitaweza kupata sehemu ambapo mchezo huu watu wanapenda kucheza au some sort of club ambapo watu wanacheza...
November 2012
Kitu kipya toka kwa Christian Bella kiendacho kwa jina 'Msaliti' ktk mfumo wa audio, endelea kusikiliza
Audio kwa hisani ya atalaku wa youtube
Hivi juzi kati nilisikia Anti Ezekiel na Jacob Steven au JB walitangazwa kuwa mabalozi wa ving'amuzi vya Zuku, lakini kwa haya mambo yanayooneshwa na mabalozi hawa kwenye matamasha ya Fiesta...
Wana JF,
Hebu tuongelee kidogo kuhusu hawa vijana wanaochipukia ktk utajiri/umaarufu, typical example: Sharobaro.
Hawa vijana (wake kwa waume) kwa kweli wanahitaji watu wa kuwa kama...
Wana JF,
Leo nilikuwa naangalia TBC1 TV nikakutana na inayosemekana kuwa ni reality TV show inayoongozwa na aliyekuwa mtangazaji wa power breakfast show ya Clouds FM Masooud Kipanya.
Show hii...
www.youtube.com Ni Kwanini? - Ambassadors of Christ Choir Rwanda. It is my heartfelt dedication to untimely death of my entertaner,Sharo Milionea. R.I.P Brother!
Na Nova Kambota , 27 Nov 2012
Kijana anayechipukia katika miondoko ya bongo flava kutoka pande za Mkuranga anayekwenda kwa jina la Juma Thabit a.k.a J2K ameibuka na kudai kuwa sasa amejipanga...
Kumbe dogo nae ni sabato-masalia..eerh ni show ya shetani, lakini pesa tamu!
Jones, who is reportedly paid between $300,000 and $350,000 per episode for "Two and a Half Men,"
He said that he...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.