Ni mara nyingine tena tunafuraha ya kurusha matangazo ya moja kwa moja ya fainali za Miss Tanzania, 2012.
Unaweza kufatilia matangazo yetu kwenye link ifuatayo:
Radio Free Africa Tanzania*|*...
Watch, listen and download over 3,000 African movies, music videos and music from Nigeria, Ghana, Tanzania, Kenya, Uganda and other African countries. The African Social Network, where you can...
Je umewahi kutazama movies hizi? The tears of the sun, Diamonds, Cry in Freetown, Blood Diamond,
Hizi, kwa mtazamo wangu zinaeneza fikra mbaya kwa dunia kuwa Waafrika hawawezi kuishi bila ya...
Music unaweza kukuweka kwenye mood wa haya majambozi yetu.This is my TOP 20
Marvin Gaye: Sexual Healing
Marvin Gaye: Let's Get It On
Barry White: Anything
Serge Gainsbourg: Je T'aime
Kings of...
Tokea nimeanza kuangalia video za Charlie Chaplin, sijzona anae mkaribia... Ebhana pamoja na kua chache zina audio, na ni zamani sana 1912 hivi.. ila hadi leo ni hot.
Wewe unaona yupi bora?
Do you know how others rate our local musician! this is just a piece of justification that there is a light at the end of the tunnel
according to the Southafrican Microsoft portal' Joseph Haule...
Kama ilivyokawaida yangu yazungukia mitandao mbalimbali siku ya Jmos,nikakutana na habari hii "Lord Eyez akamatwa kwa kuiba vifaa vya gari ya Ommy dimpoz".Pia kukiwa na tweet ya huyo bwana mdogo...
Kila ninapo sikiliza nyimbo hizi huwa nabarikiwa sana kwani zimejaa Upako wa kweli ni nyimbo zilizo tulia hazina vikorombezo vyaku mtoa mtu kwenye uwepo kama tunavyoona miziki mingine mingi ya...
Kijana kweli shujaa ..kasema wazi haoni wa kumtoa wala hakuna ambaye anaugovi naye wala ambaye anatatizo nae kwa hiyo kaamua jitaja mwenye kuwa atoke kuliko kuwa mnafiki..safi
Nimekutana na hii picha ambapo huyu kijana wa Kizungu yuko anashangaa kuichunguza sanamu iliyochongwa kwa Aluminium ili agundue kama kuna chocgote. Uchunguzi mwingine huwa hauna tija jamani.
Baada ya wadau kuchangia changia picha hii, nitawaletea story na surprise fulani kwa wadau wa jamii forum. Sana sana kwa wale enzi za miaka ya 1980 mpaka 1990 hivi.
Niko mbele ya runinga yangu naangalia hili shindano lililopewa jina la Dume challenge....washiriki wanapimwa kuanzia michezo hadi uelewa wa mambo ya kawaida kabisa ambayo kwa washiriki wale...
Mwigizaji mwenye vituko vya aina yake Irene Uwoya, leo amesafari kwenda Moshi kumzika baba yake Mkubwa mbaye ndiye yule yule aliyekuwa padri wa harusi yake na Ndikumana. Soma Zaidi Wasanii wenzake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.