Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Eugene Viginia Irine Lucy Belinda Catherine...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Eugene Viginia Irine Lucy Belinda Catherine...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kisima awards 2012 East African Recognition Award 1. TMK - Kichwa Kinauma (TZ) 2. Jackie Chandiru – Golddigger (UG) 3. Lady Jaydee ft. Mr Blue – Wangu (TZ) 4. Profesa_Jay &#8211...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu ni site gani nyingine safe ya kudownload movie for free. manake demonoid imepigwa chini
0 Reactions
4 Replies
2K Views
mwenye kunijuza movies zozote za kuchekesha like American pie na three ****** anajuze plz
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Jamani kuna mwana JF yeyote huwa anaangaria love in the wild kupitia e tv, kiukweli kwa couple za tanzania na mapenzi yetu hata kama mmekaa zaidi ya miaka 2 sijui kama mkitenganishwa na kuulizwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Timu ya warembo ya Miss redd 2012 ; ambayo hipo ziara ya kanda ya kaskazini wamemtembelea mh lowassa ili kupamba baraka zake katika mashindano ya miss Redd 2012 ; ambayo atafanyika hivi karibuni...
0 Reactions
50 Replies
8K Views
Kumbe Muke ya Mudhungu ilikuwa imesomeshwa na Hassan Bichuka? Mamaa alipopelekwa Ulaya akachukua Bwana mwingine na kujitangaza kuwa sasa yeye ni MUKE YA MUDHUNGU. Pole sana Hassan...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
kati ya "prison break" na "24" ipi nikali kwa maoni yako??
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jioni hii Adam Malima ameharibu kabisa ufunguzi rasmi wa shindano la Maisha Plus baada ya kutaja wazi eneo kilipo kijiji cha Maisha Plus kuwa ni Bagamoyo na kwamba si mbali kutoka...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Jameni naombeni radhi kwanza kwa hili ninalotaka kuzungumza. Kuna huyu Jaji wa Tikisa dance hapa ITV, mimi simuelewi kama ni ME au KE kwa swaga zake. Anaitwa JOET, ukimuangalia mienendo yake na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu naomba samahani kama uzi huu ushapita hapa jamvini.Ni kuhusu maudhui ya filamu zao mbili ambazo naweza kuziita PACHA,yaani imekera ni baina ya filamu ya NDOA YANGU na filamu ya WOMAN OF...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani,nimesikia tetesi zimezagaa huku uswahilini kwetu kwamba kiasi cha hela alicholipwa Rick Ross ni milion 460 wakati wasanii wetu wa bongo walioshiriki kwenye show hiyo ya Fiesta walilipwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwenye Nyimbo yako ya kabwela ulio mshirika Rich Mavoko...kuna misemo ifuatayo... >Nimepigwa msumari wa kichwa mwili unangoja kaburi maisha yamenipiga picha nega zimetoka vivuli dunia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Oprah Winfrey says she won't judge Rihanna and Chris Brown if they rekindle their romance Winfrey says she won't be surprised if Rihanna gives Brown another chance...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni kisa kilichosimuliwa vizuri na kwa ubunifu mkubwa na mwanadada ajulikanaye kwa jina la BAHATI BUKUKU. Ni kibao kilichopigwa kwa hadhi ya kama charanga fulani,kina ujumbe ambao kwa dunia ya...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
The African Voice Newspaper UK has now released nominees for the 17th African Film Awards 2012 better known as Hollywood Awards. Winners of each category will be announced at a special ceremony in...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ijumaa hii ni fiesta mbeya Sio kawaida kwa mbeya fiesta kuja kirahisi hivi sugu alikuwa msatali wa mbele kutetea wasanii wachanga na wale wanaochipukia lakini cha kushangaza sasa hivi baada ya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu ndugu zangu.Ni miaka inazidi kukatika sijasikia habari zozote za Mwinjuma muumini.Yuko wapi?Muziki vp?
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wadau mwenye kuweza nifahamisha jinsi ya kupata album za hawa vijana wa Hip Hop from M-Lab coz ndo Mc's nnaowakubali kwa ss..need help plzzz!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom