Kuanzia leo 1st Oct DStv wamebadilisha arrangement ya channels zao. Superb arrangement. Movies channels mpya. Sasa kazi ni kutafuta pesa kulipia package 2 burudani za kutosha. 2Thumbs Up DStv...
wadau mwenye kujua jinsi ya kupata Album za hawa vijana wa M-Lab,(Stereo,One,mix tape ya Duke,Songa na Nash Mc) anaisaidie tafadhali..coz hwa jamaa huwa nawakubali kinyama yani..!!!
Ndugu zangu kwa muda sasa toka niusikie ule wimbo wa diamond nimpende nani nimekuwa na
hakika kuwa ameiba mapingo ya nyimbo ile kutoka kwa mpiga tarumbeta yami sax. Naomba
muusikilize huu muziki...
Wadau,
Kituo cha Televisheni cha DTV kimeamua kuja upya kama kituo cha kisasa.
Katika kuja upya huko kimeamua kupita mitaa mbalimbali ya jijini Dar es Salaam na kupigiga style kama ya...
Mambo vipi wapendwa,
Natumaini sisi sote ni wazima ninaombi kwa mwenye nyimbo hizi za Tanzania ambazo ni Tazama Ramani utaona nchi nzuri. Na Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote
Naomba kwa...
kuna mtanzania anaefanya mziki wake mbele,amewahi imba wimbo hu''WHY DON'T U CHAA...NGE YOUR LOVE ON MEE..WHY DONT U CHA...NGE YOUR LOVE ON MEEE...ulikua unarushwa sana na kituo cha ITV Miaka ya...
Napenda sana kwenda kukaa pale breakpoint ya mjini siku za ijumaa kusikikilza muziki wa asili. Lakini sifaidi nakereka sana na sauti yao ya juu wanayofungulia, ni kero tupu kwani licha ya kuharibu...
Imethibitika kuwa mmoja kati ya hao anaweza kudondoka kwenye kilele cha Fiesta mwisho wa mwezi huu DSM. Narudia tena, mmoja kati ya Rick Ross na Nick Minaj atadondoka kupiga show ya mwisho ya...
Hongera EBSS- 2012
Tunawapongeza kwa maandalizi mazuri na walimu wazuri kama Banana tunamwaminia.
Kazi iko kwa majaji: Ule mchezo wa kubeba baadhi ya watu bila sababu tafadhali sana...
An upbeat African reality TV show grabs a rare but well induced backups from an International Development Organisation - Oxfam, and Tanzanian leading banking firm NMB!Whatch out and see our...
Kichwa cha habari kina utata kwani sikuweka alama ya kuuliza hivyo kisomeke. '' Bill Cosy afariki dunia?'' Every once in a while pranksters decide to declare someone – usually a popular...
Wapenzi wa filamu za marehemu Steven Kanumba watakuwa na uhakika wa kumuona tena staa huyo aliyefariki April mwaka huu kwenye filamu mpya.
Filamu hiyo inaitwa Ndoa Yangu ambapo Kanumba aliigiza...
Wana Iringa, wapi nawezakukaa na kusukuma w'end yangu hapa Iringa tawn? Nimefika nikauliza wenyeji wakaniambia niende New Life bar. Nipo hapa ila cjapapenda. Wapi pamechangamka na pazuri?
Tujulicheni tunaotumia vingamuzi vya TING(agape tv) ni wiki ya tatu sasa hatuoni channel za ITV NA STAR TV .kuna tatizo gani,na huu sio ungwana tujulisheni mbona ada yenu tunalipa pia channel...
Baada ya kuchoka kuangalia ma-Cadillac, na AK-47 na Movie ambazo hazina uhalisia na Bongo, na kuwakumbuka watunzi mashuhuri kama Agoro Anduru (Temptations, Bed of Roses na This is Living..) na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.