Tazama hii picha ya msanii Diamond katika ukurasa wa nyuma wa gazeti la leo la ''nipashe'',he is very muscular. Ilivyoandikwa'' picha imetolewa kwa ajili ya kutangaza wimbo wake mpya''.is there a...
jamani hebu nisaidieni hivi vile vibano kwenye miereka ni kweli au maigizo? Maana nasikiasikia kwamba wale wachezaji wanazuga tu! Anayefahamu anisaidie..
NEY WA MITEGO.. aliposema wanauza kwa LAKI 6 walimshambulia sana...mi nahic hata bure wanatoa...
hebu mcheki Mgombea Ujumbe NEC CCM na huyu mmoja wa Prost..... MMOJA wa Bongo muvi..
WANANGOJEA...
Hii redio inaitwa JAMBO RADIO GOLD na nyingine nyingi karibu dunia nzima nimekutana nazo baada ya kudownload hii proglam ya TUNE INN na kuinstall kwenye simu yangu ya Samsung.Nakula full burudani
Du nimekuwa naangaria mashindano ya vipaji vya kuimba maarufu kama bongo star search,kwa muda mrefu sasa.vijana wengi wanaoshiriki mashindano haya,huvunjika mioyo wanapokosa nafasi ya kusonga...
www.facebook.com/AfricanTourism
1. The Serengeti, Northern Tanzania
The Serengeti National Park offers the absolute classic African safari setting. The migration of millions of wildebeest and...
Mimi mpenzi sana wa kuangalia movie sijaelewa kama ni uzembe au hawajui. Movie nyingi za kibongo sio nzuri kabisa nikiangalia movie za nchi zingine ninaona kuna utofauti mkumbwa kabisa.
Hivi...
Wadau wa JF wale mnaobeba mabox huko ughaibuni. Mnapokuwa mmechoka, jisikieni nyumbani kwa kufuatilia link hizi hapa chini:-
1. RFA: Radio Free Africa | Dullonet Tanzania
2. STAR TV LIVE...
Bi Kidude
KUBADILIKA ya sanaa kutoka katika hali ya ridhaa kulikuja baada ya serikali kuzindua sera mpya ya Utamaduni mwaka 1999, ambayo ndani yake inatoa dhamana kwa watu binafsi (wadau)...
Live from the 2012 VMAsAlicia Keys' performance of "Girl on Fire" included appearances by Nicki Minaj and Gabby Douglas at the 2012 MTV Video Music Awards.
'Sparkle' Hollywood PremiereLast...
wapendwa,radio stesheni nchini zimekuwa nyingi mno,mnoooo hasa katika miji yetu mikubwa tz!je ipi iko poa kwa ajili ya taarifa,burudani n.k?mitaani kila napopita nasikia wame-tune in Clouds fm,je...
Wandugu mm ni mpenz mkubwa sana wa movie hii movie nimejaribu kuitafuta but sijaipata kama kuna mdau anajua jinsi ya kuidownload for free anilekeze link jaman naomba msaada.
Watch a man age 12 years in 8 minutes (VIDEO)By Eric Pfeiffer, Yahoo! News
Reporter
Posts
RSS
By Eric Pfeiffer, Yahoo! News | The Sideshow 15 hrs ago
Noah Kalina has been posting a...
"The Green Mile"has died while being hospitalized following a july heart attack.
From Clarke's fiance Omorosa Manigault saying the 54-years old actor died monday morning in a Los Angeles hospital...
Habari wanajamvi na wapenzi wa filamu, nina nia ya kutengeneza filamu ya kipelelezi ila kuna vitu nahitaji kuvijua hasa vitengo vya usalama ndani Serikali, mfano ninajua kwamba kuna kitengo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.