Wazee wadai kamtumia sms na email kumwambia yanga ni maskini na wanashindwa kuwalipa wachezaji na makocha wao. Kawekwa kitimito ajijetea hausiki katika hilo
Unakumbuka ma -dj wakali enzi hizo.... 1.dj jerry koto 2.dj young millionea 3.dj chriss fabi (the lover) 4.dj deo zullu 5.dj kali kali 6.dj mangapiii 7.dj ali koko endelea tupia hapa ma-dj wa...
Jana katika kipindi cha kusikiliza mapendekezo ya bajeti Waziri wa Fedha alisema kazi za wasanii zitapitia kwenye mikono ya TRA hii ni hatua kubwa sana ya kuwaingiza hawa wasanii wetu kwenye wigo...
Wadau naomba msaada wa jina la wimbo ambao ferooz ameshirikishwa wa zamani kidogo wa bongofleva
ambao una vipande hivi
"ningeweza ningeomba wazazi wangu warudishwe duniani...."...
Kuna scandal kwamba huu wimbo wa Ameen - Mwana FA ft Dully Sykes & AY | Muziki.net umekua sampled kutoka moja ya nyimbo za mwanadada mJamaica, sasa ingawa watu kibao hufanya hivyo ulaya na inakua...
Jamani huwa najisikia kinyefunyefu kila nikiusikia wimbo mpya wa mwanamuziki BEST NASSO, Narudi Kijijini. Kwa ufupi katika wimbo huo Best Nasso analalamika kuonewa na mpenzi wake wa kike na hivyo...
BAADA YA MADEE KUTOA SHUTUMA KWA DOGO JANJA, NAYE KAFUNGUKA
Siku moja baada ya Dogo Janja kudaiwa kufukuzwa Tip Top Connection, ukweli halisi kuhusiana na uamuzi huo umewekwa wazi na yeye...
Nikikaa mi hii ndio top 3 yangu sijui wewe mdau!
1. Yondo sister Yondo Sister - Mbutumutu | Muziki.net
2.Sokous star Sokous Star - Sophia | Muziki.net
3.Pepe Kale Pepe Kalle - Gerant | Muziki.net
Kwa mujibu wa Hashimu Lundenga mwakilishi wa miss tzz anategemea kutafutwa jumamosi hii wakati bado mashindano ya vitongoji yanaendelea...anasema tayari amepata warembo kumi (10) ambao walishawahi...
Wakati hashim Dogo anavuma na hii ngoma (shadow of the dark destiny) ulikuwa wapi Mdau mwenzangu?.Wagumu,Mabitoz na Masistaduu wa kipindi kile Bongo Flavour inaitwa mziki wa Ku-Rap......
Heshima kwenu brothers and sisters,
Naomba msaada wa jina na link ambayo naweza nikapata wimbo huu wa kiafrica, unaotumiwa sana na dstv katika matangazo yao hasa ya proud to be africans...
Nimeupenda sana wimbo huu uliotumika kwenye tangazo hili la Coca-Cola na nikathubutu kuutumia kama ringtone ya simu yangu, kwenye kuGoogle kwangu kuhusiana na hili tangazo, kuna watu wanalalamika...
Roho inaniuma nikivifikiria vifo mfurulizo vya wanamisic nguli waimbaji wa MSONDO MUSIC BAND. hasa TX MOSHI WILLIAM, toka msiba wa mwanamusiki huyu siisikii tena band...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.