Hi JF Members, mi napenda sana animation movies, naomba tuziweke hapa kama ikitokea mtu ajaicheki afanye mapango atafute... mm top five yangu nikama ifuatavyo..
1. Rango
2.Ice. age 1,2,3,4
3...
Habari wakuu,naomba msaada wa magemu ya computer kama fifa,racing,mission,action n.k,nina external hard disk ya 500gb,na nitakufuata popote ulipo dar es salaam,natanguliza asante
Kwaya ya Ulyankulu barabara ya 13 Tabora ilikuwa kwaya ilivuma na kushika chati za nyimbo za injili na ninakumbuka wazazi wangu walikuwa wapenzi wakubwa na tuangalie video yao kali ingawa...
This is real:
kuna sehemu ipo china ambayo inapingana na Laws za Physics. Yaani ukiwa unapanda juu ya mlima(Magic Slope) kutumia baiskeli , BAISKELI INAPANDA YENYEWE BILA HATA KUPIGA PEDAL.
Na...
Wadau habari za jmosi.
Natumai kuna wapenzi wa kuangalia tamthilia za kizungu humu jamvini, mi'ningependa kujua zile zilizo zaidi japo nizitafute, nilikua nafuatilia the legend of the seeker...
Kama ulikuwa ndani ya Dar Live utakubaliana nami hapo juu kuwa jamaa,huenda aliyekuwa amempiga 'misumari' kaamua kuachia. Jamaa kafanya bonge 1 la shoo. Pipo hatukuamini,kivumbi sasa...
Mazee yani we yaani,huku ni zaidi ya burudani,kuna muda umeme ulikatika ukumbi mzima watu PIPOOOZ POWER!!!!!!!!! na kweli power ikarudi,mambo yanaendelea kama hatuko mbagala vile,PIIIIPOZ!!
True, I love Isidingo the Need, the South African soap opera. it takes some of my evenings gluing me on ITV, just before 8.00 p.m. news. I find it entertaining, fun and education especially in...
Kwa wale vijana wenzangu wa miaka ya 70 na 80 tujikumbushe enzi za San Sui disco na mengineyo. Kama kuna wanazozikumbuka zingine naomba waziweke.
http://youtu.be/zR2LYxkLuQg
Leo ni J2 siku ya disco. Watu wanadamka asubuhi kwenda kucheza disco katika kumbi mbalimbali.Maeneo ya mission leo ni disco zito na watu wakoshazi. Karibu yangu kunaukumbi hapa unasumbua sana...
Wadau niko hapa Da West Park Tabata leo ndo kuna ule mtanange wa kutafuta Mlimbwende wa Tabata watu ni wengi kweli kuna bendi ya mashujaa na Mashauzi Clasic mambo ni mazuri kwa kweli. Mashujaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.