US singer Donna Summer, famous for disco classics including I Feel Love and Love To Love You Baby, has died at the age of 63. Summer was one of disco's biggest stars and also had a huge influence...
Habari ,
Habari njema kwa wasanii wa kitanzania na wa kiafrica, kutana na official facebook page ambayo itakuwa ni ya miziki ya kiafrica mipya na ya zamani katika page ya MAMBO MUSIK ambayo...
http://youtu.be/C2q2bis6eLE
Habari za hivi karibuni zinasema kuwa mwanamuziki maarufu wa nyimbo za disco, Donna Summers amefariki dunia kwa ugonjwa wa cancer. Kwa wale tuliokuwa tunakwenda disco...
Facebook Co-Founder Saverin Gives Up U.S. Citizenship Before IPO
By Danielle Kucera, Sanat Vallikappen and Christine Harper | Bloomberg – 2 hours 53 minutes ago
Eduardo Saverin, the...
Helloooo! Leo ni Bob Marley day, haya Rastafarians, tukumbushane majina mbalimbali ya mmea unaotuunganisha na kutupa stim. Pamoja na Historia ya Mwana Bob. Tunamkumbuka Bob walipi? Naanza, ganja...
Matanzania Masanii Gabriel sos limbe Atashinda zawadi kubwa kutegemeana na uzalendo wenu!! ona kwenye Gabriel Limbe collection yenu au
maoni maoni yenu yatamsaidia kufika mbali katika...
Enzi zile nasoma shule ya msingi kulikuwa na vijana waliokuwa wakija shule kwa ajili ya mazingombwe. Walikuwa wakifika shuleni mara kwa mara kwa ajili ya maonyesho hayo.
Walikuwa wakipewa kibali...
Kulalamika si kujenga.
Hapa tutatizama video za wasanii wa Tanzania (hasa Bongo Fleva), ubora, upungufu na vyote ambavyo vinaweza kuonekana na ikiwezekana kushauri cha kufanya ili kuboresha tasnia...
Wadau hiki kipindi cha "Who wants to be a millionaire on BBC Entertainment" on DSTV nakikubali sana,na ninaamini kwa wale wenye access na DSTV watakipenda pia,nimeamua kushea nanyi wadau,maana kwa...
Wanabodi ninamgeni wangu anataka kwenda mziki lakini live band je siku za kawaida kwa hapa Dar niwapi pazuri kunapigwa mziki wa live kama ya kina kingkiki nakadharika?Nijulisheni tafadhali.
1. Shabba Ranks featuring Cocoa Tea, Pirates Anthem.
Home T Ft Cocoa Tea And Shabba Ranks - Pirates Anthem - YouTube
2. Tevin Campbell, Can we Talk
Tevin Campbell - Can We Talk? - YouTube
3...
Kwa wale wapenzi wa BBA, watch DSTV mambo yameanza live!.
Hiki ndio kile kipindi cha maugomvi nyumbani wengine wakitaka kuushindia ujinga huu kutwa kuchwa, wengine tukitaka kuangalia vitu vya...
Mnakaribishwa katika uzinduzi wa video album ya st augustino choir UDSM main campus itakayofanyika katika ukumbi wa nkrumah siku ya tr 6 yaan jumapili ijayo. Itakuwa ni full burudani kwaya...
Ni Blog mpya hapa Tanzania inayokupasha taarifa tofauti za filamu na wasanii wa filamu ulimwenguni...
Itembelee leo uone tofauti..
Bofya link hii kuingia huko
http://www.syagalove.blogspot.com
Kuna yeyote anayezifahamu nyimbo hizi, na mahali ninapoweza kuzipata?
KAMBARAGE - Sugu (Mr II)
UBINAFSISHAJI - Mr Ebbo
(Wimbo unaoisifia CCM) - Kwanza Unit
Km nimekosea majina ya nyimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.