Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Nimekuwa nikifatilia hii channel via startives taklibani miezi miwili sasa, hii cahnnel imekuwa ikiniboa sana kwa kukosekana kwa sauti,yani unaangalia picha tu kama unaangalia album, tunaomba...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nilikuwa nikifuatilia kwa umakini kujua kuwa, hawa clouds Media wamepata wapi camera hizi za kurushia matangazo picha bila majibu. kwa ufupi kamela hizi ni hafifu sana na zinakosa mvuto kabisha...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Hatimae sasa bwana Steven Kanumba keshazikwa,hatunae tena duniani,tunamuombea kwa mungu amsamehe madhambi yake na pia tunamuombea mungu amfanyie wepesi siku hii ya leo kwa sababu inaelezwa na...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hii nyimbo ya Kanumba kama amejitabiria vile Isikilize hapa Hassbaby's (Mapacha)
1 Reactions
0 Replies
9K Views
Watanzania tumeumia, pengo lake kiukweli ni ngumu sana kuliziba, ndugu zangu kwetu vijana ametufundisha penye nia pana njia amefanya mengi na makubwa tungo zake zimegusa kila rika. kama wimbo wako...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
AMERICAN MOVIES TEACH US: 1. Chinese have nothing better to do than teaching or practice Kung Fu. 2. More than 50% of U.S. population are FBI/CIA agents, working undercover. 3. The purpose of...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ukisikiliza wimbo wa kamili gado ukaja kutazama na video yake unajikuta unapunguza thamani ya wimbo wenyewe. Katika video hii prof j yuko tu na warembo mwanzo mwisho na anaonekana zaidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kamumba hatunaye tena, lakini kazi zake zitaishi na ataenelea kukumbukwa kwa mengi. Katika thread hii napenda tuzungumzie yote yanayomhusu Kanumba ikiwepo Historia yake, kazi zake, Awards, Kazi za...
0 Reactions
21 Replies
55K Views
Wanamuziki wawili, Selemani Msindi aka Afabde Sele na mwenzake 20% wamefikishwa katika mahakama mjini Morogoro hapo jana Alhamisi baada ya kuleta fujo katika eneo la Benki ya NMB Morogoro...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Watu wanazidi kumiminika, japo mambo bado hayajaanza rasmi. Kwa mlioko jirani karibuni leo wakali wa muziki wa injili wanauwa moto uwanja mpya... Kwa mlio mbali tutawajuvya pamoja na picha.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nime amua kuliuliza hili kwasababu watanzania tulio wengi tumezoea kufanya mambo bila kujihoji kama ni kifa na vitu vyangu vitakufa? sababu hiyo kampuni tunaitegemea hiwe chachu ya kuhenzi aliyo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Alikuwa anaigiza film mpya ya mother Africa. http://steven.kanumba.mediafetcher.com/news/top_stories/actor_congo.php
0 Reactions
54 Replies
11K Views
mambo vp pipoz... daa ebana jana nilikuwa nacheki muvi moja ya kibongo daa dzaini ka nkashindwa kuelewa hivi ni kwanini karibu muvi zote za kibongo wasanii wanaokuwa wamepangiwa waigize kama...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Naombeni mnisaidie wadau, huu wimbo wa taarab wenye haya maneno unaotesa sasa hivi hapa bongo unaitwaje? Nani ameuimba?
0 Reactions
5 Replies
13K Views
Kwa wale waliotazama mfululizo wa sinema tatu (Trilogy) za The Lord of the Rings (The Fellowship of the Ring, The Two Towers na The Return of the King) wataona kuwa CCM imekuwa ikitishia watu...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi kwa nini mtu ukitaka kuwapa big 5 hawa wanamuziki wa nchi yetu hii ya Tanzania, mambo huwa hayaendi? kama wanavyojitangaza? wakisema saa 3 usiku muwepo msikose kumbe ni bomuuuuuuuuuuu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
http://youtu.be/T7MdbRJCpXM
0 Reactions
3 Replies
964 Views
wakati Apri 1st ikikaribia wengi huwa wanasheherekea sikukuu! ya wajinga lakini mi nakumbuka kifo cha huyu legend wa R&B, soul, doo-wop, funk, quiet storm...!!! RIP Marvin! Moja ya nyimbo yake...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nasikitika kuwa jamii ya burudani ya music hasa bongo fleva hapa tanzania haiwezi kukua wala kusonga mbele kwakuwa ina watu wajanja wajanja wapenda pesa za burudani bila kupenda maendeleo ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Huu wimbo naona unatesa sana Youtube. Umetoka kwenye wimbo wa Rock maarufu wa Paradise - Coldplay ambao wanaonyesha Tembo (Mtu) anasafiri kuja Africa na kuwakuta wenzake wakila good time in...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom