TABASAMU: WIMBO MPYA MSAMIATI ft. Jux & Steve RnB - Nyingine
TABASAMU: wimbo mpya wa Darassa ft Mwasiti - Ukipenda huoni
TABASAMU: LINAH AACHIA VIDEO YA FITINA
TABASAMU: Squeezer ft Ommy...
Jamani, naombeni msaada kama
kuna mtu anaweza kunitumia lile
game la draft la kumvua nguo
mwanamke (kuna wadada
wanavua nguo baada ya kuscore
na ukiwa scored wanavaa tena)
au kama naweza...
Ndugu zangu wana JF naombeni kwa yeyote mwenye namba ya simu ya meneja wa mwanamuziki Dogo Aslay au ya dogo mwenyewe anipatie either kwa kuniPM au kwa sms 0755737737
nina mchongo mzuri nataka...
"DIAMOND YA FOREVER" ndio jina la show babukubwa inayo andaliwa na msanii wa bongo fleva Diamond platinum,itakayofanyika Mlimani city hiv karibuni kwa kiingilio cha Tsh 50,000.Ni hatua kubwa sana...
Hellow wana JF...
Leo nipo upande wa an actress Anjeline Jolie wa Holly Wood of whom I love too.
Naona ni moja wa actresses mwenye uwezo mkubwa sana kuigiza na huweza cheza
nafasi yoyote ile...
Jana tarehe 22/03/12 nimeshuhudia ufunguzi wa Club Maisha Mtwara, ilikuwa mida ya saa 10:15. Shampeni na mafataki yalipigwa kiaina. Club iko bora kwa kubata pande zote VIP ama kajambanani kote...
.........UPDATES..........
Hatimaye Rado anauwawa na Prosephina,Aireen nae anatupwa toka juu ya
gorofa na kufariki,anabaki Hommer na Prosephina.
Prosephina anafanikiwa kumpata mama yake...
Naona mzuka kwa watu unaongezeka
kuhusu hizi filam za bongo.....kwenye media na watu..
Sasa mimi najiuliza.kwa nini nashindwa kuzipenda hizi
filam za bongo????
Yaani nashindwa hata kutazama...
Hii ni movie ambayo niliikubali tangu enzi hizo mpaka leo huwa naiangalia sana.
Sehemu nazopenda sana ni pale captain alivyoingia line kwa maria na ugumu wake wote.nyingine pale maria...
Kwa dar..wapi nitapata caps kali za MMG,ymcmb n.k....nikitajiwa na bei pia itakua poa,anayejua naomba msaada!
eg..Last Kings Tyga Snapback
ymcmb snapback
MMG
Habari zenu wadau.Kwa muda wa takribani wiki 3 sasa nimekuwa siioni filaamu hii katika chaneli ya tbc saa kumi na mbili jioni kama ilivyokuwa zamani.Hivyo naomba yoyote anayyefahamu wakati filamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.