Embu check hii closed link uone upumbafu wa hawa jamaa wa CCM ( si vibaya tukajikumbushia vichefuchefu vya hawa mala.ya).
https://www.jamiiforums.com/entertainment/7180-chama-cha-malaya.html
Daah! Ebana wadau, hivi nani anaweza nkumbusha kitu cha "jaiving" enzi zile za sunday-school, afu tukalinganisha na hii kitu yao humu wao wanaita "Kwaito" cjui kitu gani vile, naona ma'raia...
UYu jamaa anahojiwa apa TBC akasema nyimbo za siku izi hasa za bongo flavour hazina guarantee hasa mnapokuwa barazani mumekaa kama familia mnaweza ishia kuzima TV ivi ivi
Akakazia ukisimama posta...
nasikiliza kipindi cha AMPLIFAYA hapa, sasa ni dakika ya 23, ni dakika 2 tu ndiyo kuna hizo habari za top 10. Yaani ni matangazo tu muda wote. Hawana hata ile kwamba sasa ni matangazo na baadaye...
wakuu nashangazwa na tabia moja ya kutangaza na kusikitika sana ikitokea mwanamuziki ametutoka
huyu kasoloo kyanga alikuwa na hali ngumu sana kimaisha na hakuna hata mtu mmoja hasa kwa nyie...
Mambo vipi wakubwa,?
Natumaini wote ni wazima wa Afya,ıla kama kuna mwenye kusumbulıwa na Ugonjwa tunamwomba MUNGU ilı apone mapema
Ndugu zangu naomba mwenye nyımbo ya...
Jamani watanzania wenye uwezo mimi ni underground rapa mwenye uwezo wa kutunga na kuyafunga mashairi.nahitaji msaada wadau ili 2gonge kazi mawasiliano0717703276
jaman me naona ingefika wakat tungeuimba huu wimbo wa cku ya kuzaliwa(happy birthday) kwa kswahil?so mwenye uwezo mzur wa kuimba na saut ebu apge extended version kwa kswahil na atuwekee hapa...
Poleni kwa majukumu ya kila siku wana Jf.
Mimi ni kijana ninayependa hits(muziki) zilizopigwa na miaka ya 70's hadi 80's na wanamuzuki mahiri kabisa kama akina chaka khan(Ain't no body), carl...
ndio wakuu. naomba mnisaidie kwa wale wzee wenzang wa zamani kuna wimbo ulikua una kipande kinaimbwa : kila munu avena kwao. uliimbwa na nani na je naweza kuupata wapi jamani?
On My Playlist Now
1. Iridescent - Linkin Park (so addictive so Linkin Park)
2. Otis - Jay Z and Kanye West (the end of that swag rap bulls**t)
3. Monte Carlo Dreams - Phil Ade (beat and lyrics...
We specialize in urban style sneakers and professional athletic shoes,clothes,fashion handbags ect. We only
sell 100% high quality items. The items you purchase always include the original box...
Miss Tanzania imetawaliwa na nyimbo (background) za kihindi cjui kiarabu tuu, Wakibadilisha wanaweka west Africa... Wanawaza nn hawa waandaaji... kwa hili wamenikera aisee...