kitendo cha kuendelea kuwa na mashindano ya vodacom miss TZ,ni wazi kuwa Wao si wamoja katika muungano huu,Taifa linakabliwa na simanzi ya ajari ya Meri wakati wengine wanashindana nani Ana SURA...
Ndugu zangu, naomba kutoa angalizo kuhusu haya mashindano ya Miss Tanzania. Ikumbukwe kuwa hayo mashindano yameendeshwa wakati wenzetu Wazanzibari wamekumbwa na msiba uliotamkwa kuwa wa kitaifa na...
Vodacom miss Tanzania Salha israel(katikati) akiwa na mshindi wa pili Tracy Sospeter(kulia) na mshindi wa tatu Alexia William mara baada ya kutangazwa usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa mlimani...
inakuaje wakumajembe wote hapo? wakuu j2 hii naomba kama nyie ni wapenzi wa the game tafuteni album yake mpya ya R.E.D hususan ngoma aliyofanya na chris brown inaitwa pot of gold
Halikuwa kusudio letu kumchonganisha yeyote na lolote katika thread nyingi zilizoandikwa hapa jana juu ya fikara za hatua gani ingekuwa ya busara zaidi katika kushughulikia maafa haya badala ya...
Huu ndiyo muda niliokuwa nikiusubiri. Mmoja kaulizwa jins ya kuepuka vita ya wenyewe kwa wenyewe, yeye kajibu hatuna udini wala ukabila kwa hyo vita haiwezi kutokea.
Je jamaa wanafanya biashara au, maana Mbeya hamna FM ya maana na zote zinaongea ujinga ujinga tu. Bora clouds kidogo ilikuwa inabadilisha mazingira.
Ukimuuliza kila mwenyeji wa hapa wanasema n...
Watching Vodacom Miss Tanzania 2011........Nothing New meeeeen...Ngoja niendelee kupenda Sports hasa Simba na Arsenal tu ....Sometimes vitu vingine vinaweza kukufanya utapike......Khaaaa!!! Ptu...
1 Avatar $2,782,275,172
2 Titanic $1,843,201,268
3 Harry Potter and the Deathly Hallows - Part 2 $1,269,921,000
4 The Lord of the Rings: The Return of the King $1,119,110,941...
Kwa wale wapenzi wa Drama za Kikorea ile series iliyokuwa inarushwa hewani na ITV The Slave Hunter imefikia tamati leo.
Kama ilivyokuwa iliyopita hii nayo imeniacha hewani kwa mwisho wake kutokuwa...
Wakuu tangu wiki hii imeanza, nimemkumbuka sana bwana mmoja aliyejulikana kwa jina la Manase Muhaha a.k.a Mgogo (yaani ndo leo nimelikumbuka jina lake), alikuwa mchangiaji maarufu sana wa mada...
James Bond kwa takriban miaka 50 (1962 - 2011) ametoa sinema 23 ambazo ni wastani wa sinema 2 kwa mwaka kwa kuanza na Dr No ya 1962 hadi Quantum of Solace ya 2009. Katika kipindi hicho kuna...
Lil Wayne was thisclose to making history as the first rap act to open with back-to-back million-selling albums. Thanks to record-setting iTunes sales of 300,000, plus the push provided by a...
Nimetokea kuwapenda sana hawa jamaa wawili Mbwiga na Zomboko pale wanapohojiwa au wanatoa maoni kuhusu mpira wa miguu (Mbwiga) na muziki wa zilipendwa(Zomboko)
Mbwiga anakuwa burudani tosha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.