Kwa wakubwa waliokuwepo enzi za huyu bwana nafikiri wanakumbuka vichekesho vyake, ilikuwa balaa unavunja mbavu wakati mwenyewe kimyaa.... alikuwa haongei utaona vitendo vyake tu na utafurahi...
BBC News - Police Academy actor Bubba Smith dies
Bubba Smith, the American football star who found fame on screen playing Hightower in the Police Academy movies, has died at the age of 66...
Wandugu,
Nautafuta sana wimbo wa "kidekule" (video) kwenye youtube bila mafanikio. Msaada please kwa anaejua wimbo unaitwaje or bendi iliyoupiga. Ukiweza kuuweka hapa ni poa pia.
Natanguliza shukrani.
Naam wana JamiiForums!
Msikose kuangalia kipindi maridadi kabisa cha FAMILY FULL MAPESA kupitia STAR TV kila JUMAPILI SAA 12:30 - 1:00 JIONI.
Hiki ni kipindi cha kifamilia ambacho watu...
Salaam wanaJF!
Poleni na shida na matatizo lukuki yanatukabili kila sekunde hapa Tanzania.
Lakini licha ya matatizo hayo, nimeona ni vyema wakati mwingine tuondoe kidogo hizo stress kwa kupata...
Baada ya kuwa amefanya shooting nyingi upande mmoja wa muungano 'Bara' TID Aliamua kwenda kufanya shooting Zanzibar,wakiwa katikati ya zoezi hilo maeneo ya Forodhani walitokea maafisa wa parking...
rrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrSalaam-e-Ishq: A Tribute to Love
uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuhhhlllluuuuuu
Thanks to Asha Dii ... alini recommend na kunisisitiza niitafute hii movie ! kusema...
Kwa wale waliokuwepo kwenye 80's nadhani mnakumbuka hii kwaya kutoka Arusha iliyojulikana kama "Arusha Town Choir"... Mimi binafsi huwa mpaka kesho naipa hii kwaya kuwa kwaya bora kabisa kwa...
wapendwa naombeni mnisaidie hapa, nina ndugu yangu anategemea kugraduate jumamosi St Joseph University huko Mbezi Luis. Sasa tunataka baada ya graduation tukae sehemu tule, naombeni mtu anayejua...
Sat, Aug 13th, 2011
Minister for Information, Youth, Culture and Sports, Dr Emmanuel Nchimbi
The Minister for Information, Youth, Culture and Sports Emmanuel Nchimbi insisted that the...
Jana wakati waziri wa habari wakati akihitimisha hotuba ya makadirio ya wizara yake alisema bila kutafuna maneno kwamba serikali
itaendelea kuwaunga mkono miss Tanzania na kushadidia kuwa kadri...
Jana nilikuwa naangalia show ya BET nikaona Dwight Howard will tour africa, and during the conversation statement he mentioned TANZANIA 5x, now amesema kwamba anakuja kujenga shule, Swali ni...
Mama Benchmark naona inakula kwake,Airtel wamejitoa kwenye udhamini wa show hii.Inasemekana wao walikua wanatoa udhamini kiasi kama 255million kwa ajili ya show hii.Benchmark wamekimbilia...
baada ya kutazama tusker all stars jumapili nilikosa hamu kabisa kwa wale niliodhania. kwa mfano kipindi kilichopita Msechu alifanya vizuri sana lakini juzi Krrrrrr! aliniboa sana. anaulizwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.