Pengine wengi wanachukia fiesta lakini tatizo halisi si jinsi ilivyo
bali ni ufuska unaotokea kwenye hiyo fiesta ndugu wapendwa nakumbuka mara ya mwisho
nilihudhuria yaani wanawake wanaenda gizani...
Msanii Amy Winehouse, Ninasikitika kuwa ametutoka siku chache zilizopita, tena inauma sana kwa wale wapenzi wake kama mimi. Nilipenda sauti yake na saili yake ya kuvaa, hakujalisha maneno ya watu...
Huyu dada naona kaamua kutusaidia wale ambao Magamba bado yametufunika na hatuoni mateso yanayoendelea.
Kama unafikiiri Watashi hiyo haiwakumbi, basi angalia dada anaimba kwenye studio inayoenda...
Leo nimebaki mdomo wazi yaani hata kisimu changu kidogo ninachotumia kuingia internet nimepigia simu bure? Wana JF msiikose hii tembelea BONGOWAP.HEXAT.COM utanisimulia kamuujiza aka
Wapenzi wa Oldz mtakubaliana na mimi kuwa ubunifu na ushindani wa wasanii wa enzi hizo ulikuwa ni mkubwa sana. kumbuka ushindani wa Nguza Vicking(Maquiz) na Ndala Kasheba(Oss). watu waliburudika...
Mambo vipi..! ni muda kidogo sikuingia humu JF! Je kuna mtu ameshawahi kuona hii series matata " DAMAGES " Kama bado wacha ni wape summary yake
ttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttt...
Wakuu ninavyosikia kama ukishirikishwa kwenye single moja ya bongoflavor ni kama laki 2 za kitanzania, je kama mwanamuziki wakutoka Marekani mfano SnoopDog akishirikishwa na kama Dr. Dre analipwa...
Huyu jamaa, Angalieni Mpendu alikuwa maarufu sana kwenye hisia na muziki kipindi kilichojichotea washabiki wengi kwa ule umahiri wake wa kupangilia stori na muziki, nilikuwa napenda sana...
Michael Katembo huyu jamaa vipindi vyake alikuwa anavipamba mpaka utapenda kusikiliza tumbuizo asilia na mkoa kwa mkoa. Yaani zamani ilikuwa bomba sana, lakini vijana wa siku hizi watasikiliza???????
nilikuwa a big fan wa tusker project fame
but hii ya sasa siielewi kabisaaaa
hemed karudi kufanya nini?????????
yuko wapi dr mich???????????
alpha na davis si walishashinda????????
sasa...
wadau leo ni fiesta arusa ndani ya uwanja wa sheikh amri abed na muda huu ni wasanii wa zamanmi kidoga mandojo na domo kaya ndo wanapaform waimbo wa wanokunoku
..Wanajamvi tujikumbushe Watangazaji wa FM Redios miaka ya 90`s na 2000`s ambao walikuwa wana ueledi (professionalism) ya Muziki katika vipindi vyao vya Radio. tofauti na sasa kila ukifungua Redio...
Just let me know and I am going to sing this song to you.
YouTube - ‪Remember (Yori yori remix) Bracket ft 2Face Idibia Official video (with lyrics)‬‏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.