Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

Nafaidi kila mara nikipitia blog hizi za muziki wa Tanzania. Wanamuziki wa Tanzania na Muziki muziki kuna mengi ambayo media ya kwetu inajifanya haiyaoni
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Katika kipindi cha PB leo asubuhi Hando kaahidi kumpatia comlementary 10 mbunge wa mbeya mjini pamoja na wapambe wake ili waje kuona tamasha kubwa ambalo hawajawahi ona. Great Thinkers mnasemaje...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Get track oucry a song of present and future by sirhustler1.
0 Reactions
0 Replies
852 Views
wajameni kuna kipindi kinaendelea on tbc ila msechu kanifurahisha sana animba kwa hisia kali sana tumpigie kura kwa wingi
0 Reactions
6 Replies
1K Views
"Temptations" Yo Mo Bee main, drop that shit! "Heyyyy! Heyy-ayyaahhyy" -- [Erick Sermon] (Redman's "Watch Yo' Nugget") [sample repeats until first verse] You know what time, boo-yaow I know...
2 Reactions
0 Replies
813 Views
Wanangu! Msione humu rodi majita wanakatiza wako smati nini wanasmaili, ukimsalimiamwana anakwambia poa tu, hizi buku, buku mbili nini sio tatizo kumkuta kwa mama nanii anapiga mbili, umeona...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wanaJF tafadhali kama kuna mtuu anayo CD ya Pepe Kalle- Ce Chale Carnaval hiyo ya pepe kalle naomba anisaidie niweze kuipata maana juhudi zote za kuitafuta Dar es salaam zimeshindikana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanangu niaje? Mi niko poa na Jumamosi ndio kama hii ishaibuka kudadadeki, kila ishu inanitaka mimi, ...dah... Dah nimechelewa kuamka leo halafu dizaini halafu nilikuwa na mpango wa kuruka tauni...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani hivi ile channel ya bet inayopatikana startimes ndio ile ile ya usa?????? Na kama siyo hiii ina broadcast from nchi gani??????
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta mtu wa kubadilishana nae stuffs lyk movies, programs n.k, mimi ni mpenzi sana wa vitu hivyo so i wish nikapata watu wawili watatu wenye hobies kama zangu, library yangu ya movies ina...
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Na Bishop J. Hiluka FILAMU kama zitachukuliwa kwa umakini mkubwa zinaweza kuwa chanzo kikubwa na muhimu sana katika kujenga taifa na zinaweza kutumika kama jukwaa la kuchochea mijadala nchini...
1 Reactions
55 Replies
11K Views
Actors Who Died During Filming While the death of an actor is heartbreaking, it can also cause logistical problems if their demise takes place mid-way through a movie shoot. We’ve investigated...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Naam! jana nimepata nafasi ya kuona movie ya 1995 Raaz " The mystery continues" movie bomba! ina nyimbo 3 bomba ndani yake ! u can download hapa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Peter Falk "Colombo" died at 83 alifariki dunia Alhamisi..., wengi mtamkumbuka kwa series zake ambazo alikuwa akifanya kazi kama detective... RIP umetuachia entertainment which many will enjoy...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Hodi hodi wanajamvi. Kwanza napenda kuwapongeza kwa kazi mnayoifanya ya kujadili na kuchambua masuala ya taifa letu. Iwe inahusu masuala ya kisiasa, kiuchumi, kijamii au kimahusiano, moto wenu...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Jackson 'Thriller' Jacket Makes $1.8m A leather jacket worn by Michael Jackson for his Thriller video sold for $1.8 million (€1.26 million) at auction to a Texas gold trader who plans to use...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana Jf Ingawaje huu mziki ni wa 2010 lakini ni ktk bongo fraver ambayo nyimbo imetungwa na ikatungika,nyimbo ina ujumbe unaoeleweka na mwimbaji amekuwa wazi zaidi ktk kile alichokikusudia...
1 Reactions
2 Replies
10K Views
Nipo nyumbani naangalia sinema ya Sarafina, iliyopigwa picha na kuchezwa South Africa miaka ya mwishoni ya 80. Haichoshi kuangalia, ni nzuri mpaka imepitiliza. Kanumba na wenzake wana safari...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
DSTV wanazindua Chanel ya movie za Kiswahili, kwa wale mashabiki wa Bongo movies kaeni mkao wa kula itakuwa hewani Julai mosi.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
007 Weds His Leading Lady In Secret Service British stars Daniel Craig and Rachel Weisz have tied the knot, according to his publicist. Robin Baun revealed the Hollywood stars had got...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom