Wadau naomba mnikumbushe ni nani yule aliyepiga wimbo wenye kionjo hiki "maridadi sana...tai shingoni sigara mkononi,lakini hawana fedha mfukoni...
Atakayenikumbusha pia aliyepiga wimbo wenye...
Leo nilikuwa naangalia Television station ya Trace nikaona Video ya wimbo wake wa 'speak with your body ' hakika nimefurahi kuona jitihada zake. Ni kijana mwenzetu ambaye kwa muda mrefu amekuwa...
Nimekutana na huu wimbo umenikumbusha mbali sana, wote wenye mapenzi na mama zao sikilizeni huu wimbo. sauti nzuri za Kyanga Songa na Kasaloo Kyanga wa Tancut Almasi wimbo Mama, pata...
Watu uwa wanasema bahati haiji mara mbili,ila jamaa alijikuta akiishiwa lakini sasa amezipata tena.
Hii inanikumbusha hata hayo kama sikosei yalimkuta Will Smith.
Nenda kwenye hii link
POPOTE TZ...
Nimepewa taarifa kwamba wasanii wengi wa kibongo ni mbumbumbu ndo mana wanaibiwa sana kazi zao na kuishia kulipwa hadi elfu kumi kwa kazi anayofanya hii ni kweli nije kuwekeza bongo!?
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini sana maoni ya wadau mbalimbali kuhusu ubora wa filamu zetu za kibongo. Wengi wamekuwa wakitoa changamoto badala ya kupongeza kazi za sanaa hiyo ya filamu kwa...
Nimesikia tangazoo kuwa kanga moja leo wako klub maasai,ila sikumbuki kama ni knondoni au m'nyamala.nisaidieni maana nawatafuta hawa viumbe nimeona picha zao youtube kuna kiutafiti fulani nataka...
habari zenu wanajamvi..naombeni mnisaidie...nilitazama muvi hii zamani kidogo (kama miaka 3hivi iliyopita sijui) na sasa nimeitafuta tena hii muvi bila mafanikio tatizo kubwa ni kukumbuka hata...
Waandaaji wa filamu nyingi za bongo mnaboa sana, hivi hamjajua tu kuwa hadithi za filamu zenu nyingi hazivutii? Unaweza kuwa na kipaji cha kuigiza, halafu usiwe mtunzi mzuri. Kila mtu mungu kampa...
Pata nyimbo yoyote duniani, nyimbo za bongo, ant-virus za simu, game za magari, dictionary(language translator) na pia tuma meseji bure kwenda popote duniani kama hiyo haitoshi kuna vingine vingi...
wakati wanaanza mashindano walituomba tuwapigie kura washiriki kwa kutumia simu zetu na pesa zetu. tuliendelea kupiga kura kumchagua mshindi kwa zaidi ya mwezi mmoja. Ambacho tumerudishiwa sisi...
Kama kuna mtu amabaye amepitia kwenye mapito kama haya au jamaa yake wa karibu au ndugu au rafiki naomba nimpe pole..
Jamani kwa nini duniani tufanyiane mabaya wakati wote tunapita ..
Spack &...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.