Wakuu, hawa vijana ni hazina ya Taifa, hizi mshawahi kuwasilikiliza na michano yao ya hatari? Mimi binafsi nawafananisha na MaMc walipita kama Kwanza Unit (Kwanzania), Imam Abas, Traveller mtoto...
Wakuu jana na leo nimejikuta nikisikiliza kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, kwa kweli kuna tofauti kubwa sanaaa nilivyosilkiliza sikuhizi mbili na vipindi vya nyuma alivyokuwepo Kibonde...kwa...
Kuna mtu ambae ni insider wa industry ya muziki na filam
Tanzania ameniambia kitu ambacho i hope sio kweli.....
i hope ni majungu tu ya kila siku......
amenitajia majina kama ya wasanii sita hivi...
Nimepoteza kipenzi cha muaba tanzania...nimepoteza mukanda wa kiuno......sio almasi sio dhahabu ni ishara ya usajili...jina lakee hidaya........dah hii nyimbo ni miongoni mwa nyimbo...
Nimesikitishwa kusoma na kuona habari katika picha katika gazeti la Mwananchi la leo ukurasa wa saba (7) Rais wa Miss Utalii, Gidion Chipungahelo akipigana na mmoja wa Majaji wa Shindano hilo kwa...
Ni pale ilipofikia hatua ya 5 bora ndipo ghafla kwa mshangao wa wengi,majaji wa mashindano hayo wakiongozwa na Gideon Chipungahelo walipoanza kuzozana na kutupiana makonde ya rejareja.Chanzo cha...
Wadau, Star times wamekuwa wakijisheresha kwenye redio kuwa wanaonyesha mechi za Serial A live. Nimejaribu kufuatilia hiyo channel ya Kungfu lakini sijawahi kuona hizo mechi na hata bandiko kuwa...
huyo sio dem, mi mwenyewe namjua.
hajui kukataa, wanasema kaumia..
hana mapenzi yakweli yeye anajali tu shilling, kudadadeki mapenzi hayashauriki..
kama unampenda we mpende tu maradufu, ila huku...
Haya hayaaa ....! kwa wale wazee wa ile mambo yetu ndani ya the A'town centre of Africa, mnakaribishwa sana katika 'ufunguzi' rasmi wa 'RomboDeluxe', a new local joint in the heart of the town...
Video za RIHANNA kwa mwaka huu pekee zinatia fora!!!!!!!! Nikianza na wimbo wake wa S&M ulikuwa ni "MOTO" sana kiasi cha kushindwa kupigwa ama kuoneshwa katika baadhi ya Television kwa sababu...
Msanii wa kike lulu leo alikuwa ndan ya kipind cha take one-clouds,. Anasema anachukizwa sana na media eti zinamuandama kwa kumuandika uongo pia ameulizwa kama yupo kweny mahusiano,.jibu lake...
"Just A Moment"
(feat. Quan)
[Verse 1: Quan]
Can we please have a moment of silence?
That's for my niggaz doin' years in confinement
And for my soldiers who passed over, no longer living
That...
Vipi wadau ?
Kuna mtu anaweza nipatia namba ya simu ya Isha Mashauzi ? Nataka aje atupe burudani pande zetu za Manzese Mabibo.
Unaweza pia ukanitupia namba yake hapa 0787 531152. Natanguliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.